Nakazia hapaMiguu yq aina hii jeshin inakataliwa sababu inakuaga na matatizo mengi. Hao watu wanawah kuchoka au hawawez kukimbia bila shepu ya mionekano yao kubadilika.
Hawana stamina na muda mwingine inakua ngum hata kufit katika shep ya kiatu cha jeshi. Hiyo miguu ya watu wa nyayo flat hata stamina wakibeba vitu vizito huwaga ni ngum kidogo 😃
Mguu wangu kabisa huu.Hii imekaaje kitaalamu
View attachment 3662949
Hizi Tangawizi au??Mpka mikono au miguu tu
View attachment 3663002
DwarfMpka mikono au miguu tu
View attachment 3663002