Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,572
Reaction score
22,926
Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo

Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini?

Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini
Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
 
6143.jpg
 
Hawako imara kwenye shughuli za miguu. Hawawezi kukimbia, hawawezi kutembea umbali mrefu, na gwaride sio kazi ya kitoto ati
 
Unataka tukuelekeze kidaktari au tukuache anyways let me tell you

Mwili una normal body weight distribution ambayo inategemea mostly how the foot arch iko

Foundational bones kama talus kwa watu wenye flat foot inashuka chini na kupelekea talar plantarflexion and adduction ikishuka chini ina displace the navicular bones from its normal place hii cascade inaendelea kwenye cuneiform bones ambazo ziko

Lastly ni kwamba pressure ya mwili mzima inakuwa distributed kwenye metatarsal bones

Why this is disadvantage
1. Unachoka haraka nenda jeshi hawatohitaji kukufukuza
2. Huwezi kutembea umbali mrefu
3. Hard for you to wear hard army gears

So hakuna mtu akachukia
Watu wenye diabetes (kisukari ) hawana flat foot ila natural distribution kukosekana wanapata charcoal foot and it's bad
 
Ni kweli kwa sababu ukiwa na flat mguu kupata injury ni simple kwenye vikkwazo na huwezi kutembea mda mrefu mengine nawaachia wataalamu
Kwani watu wote wanaojiriwa kama wanajeshi ni kwa ajili ya kupigana vita vya ardhini kwa miguu??
Hakuna marubani wa ndege, madaktari, wapishi, mabaharia, IT, mafundi n.k?
 
Back
Top Bottom