Ya kalio sijui ila kitovu kuna mda wa kukroo kwa tumbo kwenye vikwazo kama kupita chini ya senyenge ukiwa na kitovu kikubwa inaleta shida maana mda mwingi unatembe kwa tumboKitasababisha nini usiniambie mkuu hadi kalio kubwa kwa wadada halitakiwi
Tuma namba yako isiyokuwa na deni😀😀😀si ndio🤣🤣
babe naomba hela nikasuke 😊🤣
ileile haina deniTuma namba yako isiyokuwa na deni😀😀😀
duckman😸nusu bata nusu mtu