Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Kwani watu wote wanaojiriwa kama wanajeshi ni kwa ajili ya kupigana vita vya ardhini kwa miguu??
Hakuna marubani wa ndege, madaktari, wapishi, mabaharia, IT, mafundi n.k?
Huwez kufika hatua hizo ulizo taja pasipo kupitia msingi wa awali foot drill hapo kwenye physical fitness mzee wetu, pengine nikupe mfano Kuna kijana frani tulikuwa tunaishi nae mtaani alipata nafasi hiyo akiwa na changamoto hiyo ya miguu wakati wa mazoez ya kuruka ukuta alivunjika uti WA mgongo hiyo ni miaka ya 2012.
 
Flat foot
Kigugumizi
Mapengo
Hanisi
Kitovu kikubwa
Underweight/ overweight
Makovu
Mishono
Vidole zaidi/pungufu (mikono/miguu)
Mpangilio mbaya wa vidole (miguu/mikono)
Mimba
Ngwengwe/hepatitis
Diabetes /ulcers
Kukojoa kitandani n.k
Ni vitu vinavyokukosesha usaili

Wanajuaje mtu anakojoa kitandani kwenye usaili? 😂

Kumbe wenye HIV hawaingii jeshini 🙌
 
Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo

Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini?

Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini
Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
Na lile zoez la kuchunguliwa mik..ndu huwa Kwa ajili ya nini??
 
Flat foot
Kigugumizi
Mapengo
Hanisi
Kitovu kikubwa
Underweight/ overweight
Makovu
Mishono
Vidole zaidi/pungufu (mikono/miguu)
Mpangilio mbaya wa vidole (miguu/mikono)
Mimba
Ngwengwe/hepatitis
Diabetes /ulcers
Kukojoa kitandani n.k
Ni vitu vinavyokukosesha usaili
Underweight ?? Hii iko vipau ndio inapigwa BMI
 
Samahani ndugu mtoa mada..... ulikuwa unamaanisha jeshi la wananchi au jeshi la mama yake Dulli na familia yake.....maana vigezo vimetofautiana....
20260214_220616.jpg
 
Umeamua kubisha tu si ndio...
Jina na mtu anatoka grup ya unfit anarudi safe One..
Narudia Ngwengwe tu ndio Haijadiliki
Narudia tena
Hata uwe na mbanga upi
Ukiwa na ngwengwe/homa ya ini +abnormalities zozote huwezi kuingia
Mbanga utaulizwa kama una mtu mwingine umlete chapu ili replacement ifanyike
Wakifunika meanz wameyatoa sadaka maisha yake
 
Back
Top Bottom