ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Kumbe ukiathirika jeshini wenzako wote watajuaWanapimwa kila baada ya miezi 6
Kumbe ukiathirika jeshini wenzako wote watajuaWanapimwa kila baada ya miezi 6
Si kweli , endeleeni ,Kabla ya kuingia maabara ni lazima wapitie the recruit stage (mafunzo makali) ili kuujengea mwili uvumilivu
Ni siri yako na daktari, wakuu na sameja wakoKumbe ukiathirika jeshini wenzako wote watajua
Lol imebidi nijitazame mguu wangu vyemaVikwazo siyo kutembea au kukimbia tuu hata kupanda na kuruka high jumps bado ni kipengele
😄😄😄 Sasa meno yote yatimie ili iweje !? Ufala sanaVigezo ambavyo naona ni unfair ni
- Kigugumizi
- kukosa meno kadhaa
- Makovu madogo (japo siyo yote)
Hapa madogo wengi wanatemwa sana asee
Kweli 😂Tafuteni connection. Hizo nadharia zinawahusu wasio na connection
😄😄 Umejitoa ufahamu kama bado mnapewa msaada wa kujenga vyoo what do you expectTuko nyuma sana, mpaka Karne hii nafasi za jeshi bado zinapatikana kwa connections.
Kumbe ni ugonjwa wa aibuNi siri yako na daktari, wakuu na sameja wako
ili uweze kula nyama porini huko mkiwa mnaendesha vita ya msituni.😄😄😄 Sasa meno yote yatimie ili iweje !? Ufala sana
Ukienda vitani misitu ya Congo ndani ndani huko dozi ikiisha nani atakuletea kwenye uwanja wa vita?Sababu ni ipi wenye ngwengwe wasiingie jeshini
Ulivyoandika kwa maringo utafikiri umepimaUkienda vitani misitu ya Congo ndani ndani huko dozi ikiisha nani atakuletea kwenye uwanja wa vita?
Kiufupi vitani inatakiwa uwe na kinga za mwilini zakutosha Sio uwe na upungufu wa kinga mwilini(VVU).
usije ukatufia katikati ya vita tuwe pungufu.
😀 nimepima mkuu nipo nakula mshahara wa JWTZ.Ulivyoandika kwa maringo utafikiri umepima
Daaah😂Kumbe ni ugonjwa wa aibu
Ila wanasema "ukiona mkuu wa ***** anamuacha demu mzuri ujue , demu ameukanyaga!Ni siri yako na daktari, wakuu na sameja wako
Uvungu ni kama shock-up (shock absorber); mtu akiruka, akibeba vitu vizito, uvungu husaidia kubalance weight.Imethibitishwa kitaalamu kuwa hawawezi ama ni nadharia mkuu? Nifahamishe kwa hili
Kuna mwanajeshi mstaafu nilimwona hana uvunguWasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo
Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini?
Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini
Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...