Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
Amehlo kumbe umepita JKT? Ntakuja uniuzie mkoba wa wifi yako.walikua wanateseka hao JKT 🤣🤣🤣hata kwenye kwata walikua wanakataliwa
Amehlo kumbe umepita JKT? Ntakuja uniuzie mkoba wa wifi yako.walikua wanateseka hao JKT 🤣🤣🤣hata kwenye kwata walikua wanakataliwa
nimepita🤣🤣 nimekesha 6 weeks jamaniAmehlo kumbe umepita JKT? Ntakuja uniuzie mkoba wa wifi yako.
Dada una roho mbaya sana..why bata😀😀😀😀ila miguu yao mizuri kama bata
Huu umbeajeshi la iran wote hawana uvungu na wanapigana na super power, uvungu wa nyayo haina maana yoyote mataifa makubwa hawaangalii upuzi huo wanakupima akili na afya tosha
Hapo ccm imeingiajeMajeshi ya CCM hayaishiwi vituko
Ni lazima aharishe.yani mtu mwenye ukimwi huhitaji kumpima...mwambie mkimbie na mruke vichura..akitoka hapo lazima choo kimkomeMwenye ngwengwe hawezi kusurvive kwenye ishu yoyote inayohusisha matumizi makubwa ya nguvu
ushawahi kuiona miguu ya bata lakini🤣🤣Dada una roho mbaya sana..why bata😀😀😀😀
Ntakuja dadangu. Lakini nikija sitakuambia ni mimi Endasak😀😀😀nimepita🤣🤣 nimekesha 6 weeks jamani
njooo 🤣🤣🤣wifi apate kakitu
daah kwanini sasaNtakuja dadangu. Lakini nikija sitakuambia ni mimi Endasak😀😀😀
Ufafanuzi mzuri sana shukraniUvungu ni kama shock-up (shock absorber); mtu akiruka, akibeba vitu vizito, uvungu husaidia kubalance weight.
Mtu akikimbia pia humsaidia kubalance weight
Hivyo mwili ambao hauna shock absorber, huonekana sio imara sana kwa kazi zinazohitaji kutumia nguvu na hectick japo wanaweza kufanya kazi nyingine za kawaida vizuri.
Ina maana kwa kazi kama za jeshi ambapo, kukimbia, kutembea umbali mrefu, kubeba vitu vizito ni jambo la kawaida; watu ambao hawana shock absorber huonekana kama wanakosa sifa....
Kula chap chap😄😄😄 Sasa meno yote yatimie ili iweje !? Ufala sana
Kazi ya uvungu ni kushika ardhi utembeapo, bila uvungu utateleza. Kama unao uvungu tembea kwenye mchanga utaona kila hatua unateneneza fungu la mchanga, hii haina tofauti na tairi ya gari au baisikeli isiyokuwa na kashata, huteleza izungurukapo.Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo
Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini?
Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini
Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
Sana tu..imetawanyika na ni flat😬😬ushawahi kuiona miguu ya bata lakini🤣🤣
ewaaaaa sasa ndo wasio na uvungu wako hivyo🤣Sana tu..imetawanyika na ni flat😬😬
KweliKweli au chai?
Ili Anonymity iendelee😀😀😀daah kwanini sasa
nshakujua🤣🤣🤣🤣Ili Anonymity iendelee😀😀😀