Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Unataka tukuelekeze kidaktari au tukuache anyways let me tell you

Mwili una normal body weight distribution ambayo inategemea mostly how the foot arch iko

Foundational bones kama talus kwa watu wenye flat foot inashuka chini na kupelekea talar plantarflexion and adduction ikishuka chini ina displace the navicular bones from its normal place hii cascade inaendelea kwenye cuneiform bones ambazo ziko

Lastly ni kwamba pressure ya mwili mzima inakuwa distributed kwenye metatarsal bones

Why this is disadvantage
1. Unachoka haraka nenda jeshi hawatohitaji kukufukuza
2. Huwezi kutembea umbali mrefu
3. Hard for you to wear hard army gears

So hakuna mtu akachukia
Watu wenye diabetes (kisukari ) hawana flat foot ila natural distribution kukosekana wanapata charcoal foot and it's bad
Kwa Maelezo haya ww itakuwa ni mtaalamu wa afya, probably specialist... Maelezo yako very clear, precise.
 
Vigezo ambavyo naona ni unfair ni

  • Kigugumizi
  • kukosa meno kadhaa
  • Makovu madogo (japo siyo yote)

Hapa madogo wengi wanatemwa sana asee
Kigugumizi ni sawa mkuu cuz jeshini ni kuchangamka ukipewa order inatakiwa fasta unaitikia "yes sir" na haraka unaondoka kutekeleza order.

Sasa ukiwa na kigugumizi mpaka umalize kusema yes sir umesha chelewa.

Mfano
Ambaye hana kigugumizi atasema "yes sir" na kuondoka fasta.

Mwenye kigugumizi atesema "yeyeyeyeyeyeyyeyes sir". Hapo kasha delay sekunde nyingi bomb 💣 lishawalipukia.
 
Wasalaam wanagenzi na wakuu katika ujenzi wa maendeleo

Hili suala nimekuwa nikilisikia sana kuwa watu wasio na uvungu miguuni hawakubaliki jeshini?

Je ni kweli? Kama ni kweli kwanini
Zipi sababu hasa zinazopelekea wakataliwe? Wajuzi wa mambo mtuambie...
Hiyo ni aina mojawapo ya ulemavu japo utotoni kulikuwa na jamaa mtaalam wa kupiga mitama licha ya kuwa na nyayo za chapati.
 
Kigugumizi ni sawa mkuu cuz jeshini ni kuchangamka ukipewa order inatakiwa fasta unaitikia "yes sir" na haraka unaondoka kutekeleza order.

Sasa ukiwa na kigugumizi mpaka umalize kusema yes sir umesha chelewa.

Mfano
Ambaye hana kigugumizi atasema "yes sir" na kuondoka fasta.

Mwenye kigugumizi atesema "yeyeyeyeyeyeyyeyes sir". Hapo kasha delay sekunde nyingi bomb 💣 lishawalipukia.
Hii fact kabisa
 
Back
Top Bottom