Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Unataka tukuelekeze kidaktari au tukuache anyways let me tell you

Mwili una normal body weight distribution ambayo inategemea mostly how the foot arch iko

Foundational bones kama talus kwa watu wenye flat foot inashuka chini na kupelekea talar plantarflexion and adduction ikishuka chini ina displace the navicular bones from its normal place hii cascade inaendelea kwenye cuneiform bones ambazo ziko

Lastly ni kwamba pressure ya mwili mzima inakuwa distributed kwenye metatarsal bones

Why this is disadvantage
1. Unachoka haraka nenda jeshi hawatohitaji kukufukuza
2. Huwezi kutembea umbali mrefu
3. Hard for you to wear hard army gears

So hakuna mtu akachukia
Watu wenye diabetes (kisukari ) hawana flat foot ila natural distribution kukosekana wanapata charcoal foot and it's bad
Shukrani sana mkuu kwa maelezo na upembuzi yakinifu wa miguu na namna inavyoathiri machaguzi huko jeshini bravo
 
Flat foot
Kigugumizi
Mapengo
Hanisi
Kitovu kikubwa
Underweight/ overweight
Makovu
Mishono
Vidole zaidi/pungufu (mikono/miguu)
Mpangilio mbaya wa vidole (miguu/mikono)
Mimba
Ngwengwe/hepatitis
Diabetes /ulcers
Kukojoa kitandani n.k
Ni vitu vinavyokukosesha usaili
Ngwengwe tuuu. Vingine hivyo vyote abrakadabra.
 
Flat foot
Kigugumizi
Mapengo
Hanisi
Kitovu kikubwa
Underweight/ overweight
Makovu
Mishono
Vidole zaidi/pungufu (mikono/miguu)
Mpangilio mbaya wa vidole (miguu/mikono)
Mimba
Ngwengwe/hepatitis
Diabetes /ulcers
Kukojoa kitandani n.k
Ni vitu vinavyokukosesha usaili
Ina maana majamaa waliopo chomboni wote wazima
 
Back
Top Bottom