BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,410
- 13,052
Noma hiyo mzee.Yaah
Uwiano kati ya urefu na uzito wako
Ila mchongo mkubwa ni connection tu vigezo ni added advantages
Noma hiyo mzee.Yaah
Uwiano kati ya urefu na uzito wako
Sababu ni ipi wenye ngwengwe wasiingie jeshiniKuna
Mwenye HIV na magonjwa yote ya kudumu haingii jeshini
Kuhusu kukojoa kitandani watakujua wakati wa uzalendo( usaili) maana hautalala peke yako
Connections na vigezo uwe navyo nduguNoma hiyo mzee.
Ila mchongo mkubwa ni connection tu vigezo ni added advantages
Sababu kama zipiNgoja wataalam wa medani waje kutoa sababu zao.
Mwenye ngwengwe hawezi kusurvive kwenye ishu yoyote inayohusisha matumizi makubwa ya nguvuSababu ni ipi wenye ngwengwe wasiingie jeshini
Kivipi?Mwenye ngwengwe hawezi kusurvive kwenye ishu yoyote inayohusisha matumizi makubwa ya nguvu
Mimi kuna mtoto wa mdogo wangu alizaliwa na flat feet akapewa viatu maalumu ili kutengeneza uvungu
Hahahhah,labda aliyapata alivyopata ajira😂Namjua mwanajeshi mwenye mapengo mawili ya mbele
Mafunzo ya kijeshi ni zaidi ya saidia fundi, ubondia na mengine yote unayoyafahamuKivipi?
Naamini kuna saidia fundi wana ngwengwe, mabondia, wabeba mizigo masokoni
WEWE ndio mtaalamu na umemaliza.Ni kweli kwa sababu ukiwa na flat mguu kupata injury ni simple kwenye vikkwazo na huwezi kutembea mda mrefu mengine nawaachia wataalamu
Israel na Ukaraine wao wanashinda maabara kutengeneza Droni na kujifunza urubani, wanashinda kwenye AC, hii ipoje ?Mafunzo ya kijeshi ni zaidi ya saidia fundi, ubondia na mengine yote unayoyafahamu
Kuna kutokulala miezi miwili mfululizo
Kushinda juani/mvuani na kwenye baridi kali kwa masaa mengi
Kubeba vitu vizito na mateso makali yanayohitaji mwili uwe fiti ili uvumilie
Kasoro yoyote mwilini inaweza kupelekea kutokuendelea na mafunzo au kifo.
Kwani Arvs hazileti nguvu mwilini?Mafunzo ya kijeshi ni zaidi ya saidia fundi, ubondia na mengine yote unayoyafahamu
Kuna kutokulala miezi miwili mfululizo
Kushinda juani/mvuani na kwenye baridi kali kwa masaa mengi
Kubeba vitu vizito na mateso makali yanayohitaji mwili uwe fiti ili uvumilie
Kasoro yoyote mwilini inaweza kupelekea kutokuendelea na mafunzo au kifo.
Kabla ya kuingia maabara ni lazima wapitie the recruit stage (mafunzo makali) ili kuujengea mwili uvumilivuIsrael na Ukaraine wao wanashinda maabara kutengeneza Droni na kujifunza urubani, wanashinda kwenye AC, hii ipoje ?
Hawafanyi haya usemayo.
Ukiukwaa baada ya kuingia chomboni wataku note kama kundi maalum ( huwezi kwenda mission, kozi yoyote ya nguvu n.k)Kwani Arvs hazileti nguvu mwilini?
Gipi akipata baada ya kua mwanajeshi
Mwanajeshi akipata ngwengwe anatakiwa akareport?Ukiukwaa baada ya kuingia chomboni wataku note kama kundi maalum ( huwezi kwenda mission, kozi yoyote ya nguvu n.k)
Wanapimwa kila baada ya miezi 6Mwanajeshi akipata ngwengwe anatakiwa akareport?