Kwanini mtu mwenye miguu kama hii haruhusiwi kujiunga na jeshi ?

Miguu yq aina hii jeshin inakataliwa sababu inakuaga na matatizo mengi. Hao watu wanawah kuchoka au hawawez kukimbia bila shepu ya mionekano yao kubadilika.

Hawana stamina na muda mwingine inakua ngum hata kufit katika shep ya kiatu cha jeshi. Hiyo miguu ya watu wa nyayo flat hata stamina wakibeba vitu vizito huwaga ni ngum kidogo 😃
 
Nakazia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…