Kwanini mtu ukiwa unatekeleza majukumu yako ya kiofisi unaonekana ni mwenye kiherehere?

Watanzania walio wengi wanapenda janja janja,wanapenda mteremko
Nimefanya kazi taasisi binafsi na serikalini watu hawajitumi kabisa,uwezo anao na resources za kazi zipo ila haoni haja ya kuifanya kazi kwa bidii,
Tusipobadilika matabaka hayatoisha,watoto wa wakubwa watabaki kuandaliwa kuongoza manyumbu wengine.
Fanya kazi zako bila kona kona itakusaidia na kukuokoa na mengi
 
Shida mnapenda kula pekeyenu. Yaani wenzenu muwafanye punda tu, wakati nyie mnapiga mahela mengi tu. Usisahau kila mtu atakula kutokana na urefu wa kamba yake, acha kushikilia kamba ya wenzio.
 
Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.

Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.

Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na siwapi ushirikiano wa kutosha.

Nikakumbuka, siku chache zilizopita hao wanaosema nawabana na siwapi ushirikiano walikuwa na field trip huko mikoani. Walipewa kiasi kikubwa tu cha pesa za safari, na kama ilivyo kawaida ya kila ofisi ina utaratibu wake. Watu wanapotoka field trip basi lazima wafanye retirement, na sisi hapa ofisini kwetu kila kitu kinafanyika online kwenye system ya taasisi husika. Miongozo iliyopo iko wazi kwamba risiti pekee zinazokubalika wakati wa kufanya retirement ni EFD receipts only. Kama mtu alienda kulala kwa hawara yake na siyo hotelini, basi afanye kila linalowezekana apate EFD receipt.

Sasa, kuna mtu anajifanya ni mkongwe wa taasisi, kwa hiyo baadhi ya mambo anataka tufanye business as usual. Katoka trip, kaja kufanya retirement, kaweka risiti za kuandikwa kwa mkono. Kweli, karne hii kuna hoteli ya hadhi ya nyota tatu inatoa risiti za mkono, wakuu?

Ile retirement yake mimi nimeipiga pini; nimeikataa na nimempa sababu kuwa haijacomply na matakwa ya taasisi. Hivyo nimempa siku tatu mbele aweze kutafuta documents halali. Wenzie wote wamefanya hilo zoezi vizuri, ingawa najua risiti nyingi zimetengenezewa Kariakoo tu hapo, ila nimefumba macho tu. Sasa huyu mmoja aliyeniwekea mirisiti ya kuandikwa kwa mkono ndie ananizungumzia vibaya huko kwa mavikao yao.

Hivi, kwa nini hapa Bongo mtu ukitekeleza majukumu yako unaonekana kama snitch, wakuu?
Hao ndio wabongo kwenye kila kitu wanataka kuleta ukanjanja utasikia mkuu tuyajenge yanazungumzika haya,kila kitu wanarahisisha.
Ila mkuu nikutahadharishe kitu,jitahidi utumie busara ya hali ya juu iwezekanavyo wazee kama huyo mkongwe aliyeleta risiti ya mkono wanakuwaga wachawi/washirikina ndio maana wanadumu miaka mingi hata kama kazi yao wanayofanya haieleweki na wana mitandao mipana ya kufanya figisu ukitumia nguvu kusolve hizo issues baadae utajikuta uko nje ya mfumo.
 
Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.

Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.

Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na siwapi ushirikiano wa kutosha.

Nikakumbuka, siku chache zilizopita hao wanaosema nawabana na siwapi ushirikiano walikuwa na field trip huko mikoani. Walipewa kiasi kikubwa tu cha pesa za safari, na kama ilivyo kawaida ya kila ofisi ina utaratibu wake. Watu wanapotoka field trip basi lazima wafanye retirement, na sisi hapa ofisini kwetu kila kitu kinafanyika online kwenye system ya taasisi husika. Miongozo iliyopo iko wazi kwamba risiti pekee zinazokubalika wakati wa kufanya retirement ni EFD receipts only. Kama mtu alienda kulala kwa hawara yake na siyo hotelini, basi afanye kila linalowezekana apate EFD receipt.

Sasa, kuna mtu anajifanya ni mkongwe wa taasisi, kwa hiyo baadhi ya mambo anataka tufanye business as usual. Katoka trip, kaja kufanya retirement, kaweka risiti za kuandikwa kwa mkono. Kweli, karne hii kuna hoteli ya hadhi ya nyota tatu inatoa risiti za mkono, wakuu?

Ile retirement yake mimi nimeipiga pini; nimeikataa na nimempa sababu kuwa haijacomply na matakwa ya taasisi. Hivyo nimempa siku tatu mbele aweze kutafuta documents halali. Wenzie wote wamefanya hilo zoezi vizuri, ingawa najua risiti nyingi zimetengenezewa Kariakoo tu hapo, ila nimefumba macho tu. Sasa huyu mmoja aliyeniwekea mirisiti ya kuandikwa kwa mkono ndie ananizungumzia vibaya huko kwa mavikao yao.

Hivi, kwa nini hapa Bongo mtu ukitekeleza majukumu yako unaonekana kama snitch, wakuu?
elimu yako ni ndogo sana kasome kwanza ukirudi uje uniwajibishe vizuri
 
Wewe ni snitch tu,mambo ya Ofisi unaleta uku ya nn
 
Wewe mtu wa kalala nje ya kituo chake Cha kazi unataka risiti ya hotel au lodge
 
Unoko ni kujidai una uchungu sana na taasisi hadi waliokuletea risit za kariakoo inakuuma, wakati walienda kufanya kazi na fungu la kuwalipa lipo.

Mnashindwa kuwafanyia unoko wanasiasa wanapiga kodi kujitajirisha mnawafanyia unoko walala hoi wenzenu

failure.
Huo sio unoko ni kufuata utaratibu
 
Hizo receipt za mkono ata TRA uwa hawazipokei.
Ongea na huyo mkongwe mpe elimu.
 
Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.

Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.

Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na siwapi ushirikiano wa kutosha.

Nikakumbuka, siku chache zilizopita hao wanaosema nawabana na siwapi ushirikiano walikuwa na field trip huko mikoani. Walipewa kiasi kikubwa tu cha pesa za safari, na kama ilivyo kawaida ya kila ofisi ina utaratibu wake. Watu wanapotoka field trip basi lazima wafanye retirement, na sisi hapa ofisini kwetu kila kitu kinafanyika online kwenye system ya taasisi husika. Miongozo iliyopo iko wazi kwamba risiti pekee zinazokubalika wakati wa kufanya retirement ni EFD receipts only. Kama mtu alienda kulala kwa hawara yake na siyo hotelini, basi afanye kila linalowezekana apate EFD receipt.

Sasa, kuna mtu anajifanya ni mkongwe wa taasisi, kwa hiyo baadhi ya mambo anataka tufanye business as usual. Katoka trip, kaja kufanya retirement, kaweka risiti za kuandikwa kwa mkono. Kweli, karne hii kuna hoteli ya hadhi ya nyota tatu inatoa risiti za mkono, wakuu?

Ile retirement yake mimi nimeipiga pini; nimeikataa na nimempa sababu kuwa haijacomply na matakwa ya taasisi. Hivyo nimempa siku tatu mbele aweze kutafuta documents halali. Wenzie wote wamefanya hilo zoezi vizuri, ingawa najua risiti nyingi zimetengenezewa Kariakoo tu hapo, ila nimefumba macho tu. Sasa huyu mmoja aliyeniwekea mirisiti ya kuandikwa kwa mkono ndie ananizungumzia vibaya huko kwa mavikao yao.

Hivi, kwa nini hapa Bongo mtu ukitekeleza majukumu yako unaonekana kama snitch, wakuu?
Wakurya wa siku hizi changamoto sana
 
Back
Top Bottom