The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Ataishia kulogwa huyu.Fanya kazi achana na walimwengu wana mambo mengi
Afanye kazi zake.. Binadamu sio wazuri hata kidogo.Ataishia kulogwa huyu.
Anaenda ofisini haioni mpaka jioni anarudi kulala hawajui wakulungwa.
Na sijaelewa Retirement au kutoa report ya ziara.
Hao ndio wabongo kwenye kila kitu wanataka kuleta ukanjanja utasikia mkuu tuyajenge yanazungumzika haya,kila kitu wanarahisisha.Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.
Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.
Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na siwapi ushirikiano wa kutosha.
Nikakumbuka, siku chache zilizopita hao wanaosema nawabana na siwapi ushirikiano walikuwa na field trip huko mikoani. Walipewa kiasi kikubwa tu cha pesa za safari, na kama ilivyo kawaida ya kila ofisi ina utaratibu wake. Watu wanapotoka field trip basi lazima wafanye retirement, na sisi hapa ofisini kwetu kila kitu kinafanyika online kwenye system ya taasisi husika. Miongozo iliyopo iko wazi kwamba risiti pekee zinazokubalika wakati wa kufanya retirement ni EFD receipts only. Kama mtu alienda kulala kwa hawara yake na siyo hotelini, basi afanye kila linalowezekana apate EFD receipt.
Sasa, kuna mtu anajifanya ni mkongwe wa taasisi, kwa hiyo baadhi ya mambo anataka tufanye business as usual. Katoka trip, kaja kufanya retirement, kaweka risiti za kuandikwa kwa mkono. Kweli, karne hii kuna hoteli ya hadhi ya nyota tatu inatoa risiti za mkono, wakuu?
Ile retirement yake mimi nimeipiga pini; nimeikataa na nimempa sababu kuwa haijacomply na matakwa ya taasisi. Hivyo nimempa siku tatu mbele aweze kutafuta documents halali. Wenzie wote wamefanya hilo zoezi vizuri, ingawa najua risiti nyingi zimetengenezewa Kariakoo tu hapo, ila nimefumba macho tu. Sasa huyu mmoja aliyeniwekea mirisiti ya kuandikwa kwa mkono ndie ananizungumzia vibaya huko kwa mavikao yao.
Hivi, kwa nini hapa Bongo mtu ukitekeleza majukumu yako unaonekana kama snitch, wakuu?
elimu yako ni ndogo sana kasome kwanza ukirudi uje uniwajibishe vizuriKufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.

Watu weusi hawanaga akili kama alivyosema botha.Kwa nini hapa Bongo mtu ukitekeleza majukumu yako unaonekana kama snitch, wakuu?
Wewe ni snitch tu,mambo ya Ofisi unaleta uku ya nnKufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.
Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.
Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na siwapi ushirikiano wa kutosha.
Nikakumbuka, siku chache zilizopita hao wanaosema nawabana na siwapi ushirikiano walikuwa na field trip huko mikoani. Walipewa kiasi kikubwa tu cha pesa za safari, na kama ilivyo kawaida ya kila ofisi ina utaratibu wake. Watu wanapotoka field trip basi lazima wafanye retirement, na sisi hapa ofisini kwetu kila kitu kinafanyika online kwenye system ya taasisi husika. Miongozo iliyopo iko wazi kwamba risiti pekee zinazokubalika wakati wa kufanya retirement ni EFD receipts only. Kama mtu alienda kulala kwa hawara yake na siyo hotelini, basi afanye kila linalowezekana apate EFD receipt.
Sasa, kuna mtu anajifanya ni mkongwe wa taasisi, kwa hiyo baadhi ya mambo anataka tufanye business as usual. Katoka trip, kaja kufanya retirement, kaweka risiti za kuandikwa kwa mkono. Kweli, karne hii kuna hoteli ya hadhi ya nyota tatu inatoa risiti za mkono, wakuu?
Ile retirement yake mimi nimeipiga pini; nimeikataa na nimempa sababu kuwa haijacomply na matakwa ya taasisi. Hivyo nimempa siku tatu mbele aweze kutafuta documents halali. Wenzie wote wamefanya hilo zoezi vizuri, ingawa najua risiti nyingi zimetengenezewa Kariakoo tu hapo, ila nimefumba macho tu. Sasa huyu mmoja aliyeniwekea mirisiti ya kuandikwa kwa mkono ndie ananizungumzia vibaya huko kwa mavikao yao.
Hivi, kwa nini hapa Bongo mtu ukitekeleza majukumu yako unaonekana kama snitch, wakuu?
Huo sio unoko ni kufuata utaratibuUnoko ni kujidai una uchungu sana na taasisi hadi waliokuletea risit za kariakoo inakuuma, wakati walienda kufanya kazi na fungu la kuwalipa lipo.
Mnashindwa kuwafanyia unoko wanasiasa wanapiga kodi kujitajirisha mnawafanyia unoko walala hoi wenzenu
failure.
Wakurya wa siku hizi changamoto sanaKufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.