Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi

Fanya hivi

Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua

Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.

Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
 
Wewe Kijana unayechua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi

Fanya hivi

Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua

Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.

Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Ngono na kujichua vinaondoa life force yako kiroho, yaani unachokitoa baada ya ngono ni lige force
Is why watu ambao hawafanyi sana wala kujichua wanawaka or mambo yao yana slide mara kwa mara
 
Back
Top Bottom