Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Naunga mkono kwamba nuru inaletwa na kula vizuri,matunda na maji safi,hakuna muujiza mwingine

Uzinzi na kujichua huleta guilt fulani kama wewe ni mwenye kumuamini Mungu,so automatically lazima utaathirika kiroho
Ila kwa ambae aamini kiroho wala hawezi kuathirika na chochote, ubongo unaweza kufanya manifestation ya kile unachokiamini kikawa reality yako.
 
Unadhani kwanini tendo la ngono Mungu alilifanya lipatikane kiugumu.

Ni kwasababu ya kubalance mwili na kazi ,bahati mbaya siku hizi hakuna ugumu tena ukiwa na buku 5 unapiga ,na ndiyo maana kinatengenezwa kizazi flani kichafu kisicho na hofu kwani nafsi zishaharibika
 
Utasemaje kitu kibaya,sema uzinzi ndio kitu kibayaile

Utasemaje kitu kibaya,sema uzinzi ndio kitu kibaya
Ila hali bada ya kumwaga tui la nazi huwa inakuja feeling flan mbaya
Nilikaa miaka miwili bila kumugusa mwanamke nilikuwa najihis tofaut mno mtu mbaya nilikuwa nakuambia kwa kumuangalia tu
 
Wewe Kijana unayechua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi

Fanya hivi

Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua

Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.

Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Ni kweli ukitaka kutoboa kwenye haya maisha yetu ya kutafuta ni kuacha zinaaa

Punyeto mara mbili kwa wiki sio mbaya
 
Back
Top Bottom