Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Uwe na kimuda kirefu hujasex afu sikuhiyo usex na uwe umekojoa vizuri then oga vizuri....I swear ukitoka ndani kilamtu anakutazama wewe USO wako unavyong'aa...

Wanaofubaa ni wale Wana wapenzi lukuki na husex kilasiku
 
hii ni pseudoscience hii

haijathibitishwa

nimesikia mengi zaidi ya hayo. mara sauti inakuwa nzito zaidi, mara mashine inakuwa nene zaidi...😅

zipo sababu nyingine halali tu za kuacha nyeto/ngono ila sijui kwanini watu mnapendelea kujidanganya hivi...
 
Kwa Imani yangu! Sikulazimishi uniamini, Ni hivi!

Palipo na dhambi, Pana Mauti ... Kujichua na uzinzi ni dhambi mbaya inayoathiri Roho, nafsi na mwili at once.

Kwa kuwa palipo na dhambi Pana Mauti, ni wazi kuwa hapana uhai, hapana Nuru, hapana uhuru!

Sema ndo ivoooo vijana wengi Wanafanya ila deep down wanapata guilty ... Upwiru mbaya sana
 
hii ni pseudoscience hii

haijathibitishwa

nimesikia mengi zaidi ya hayo. mara sauti inakuwa nzito zaidi, mara mshine inakuwa nene zaidi...😅

zipo sababu nyingine halali tu za kuacha nyeto/ngono ila sijui kwanini watu mnapendelea kujidanganya hivi..

Nishati ya kiroho ambayo mtu anayo inaamuliwa na matendo yake, maadili na imani.
Kuna mtu vyote hivyo anavyo na anapiga nyeto kuamini tu haitoshi bila uthibitisho.
 
Kwa Imani yangu! Sikulazimishi uniamini, Ni hivi!

Palipo na dhambi, Pana Mauti ... Kujichua na uzinzi ni dhambi mbaya inayoathiri Roho, nafsi na mwili at once.

Kwa kuwa palipo na dhambi Pana Mauti, ni wazi kuwa hapana uhai, hapana Nuru, hapana uhuru!

Sema ndo ivoooo vijana wengi Wanafanya ila deep down wanapata guilty ... Upwiru mbaya sana
Kwa hiyo watu wote wanaokumbwa na mauti ni wapiga nyeto tu ?
 
Sina utaalam kiviiile ila wewe vuta picha tu jinsi unavyokunja uso wako wakati wa kupiga bao iwe la ngono au la nyeto.
Bado unataka uso huohuo uwe na nuru tena!
 
Back
Top Bottom