makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Hapana mkuu! Nimeongelea kwa muktadha wa mada husika.Kwa hiyo watu wote wanaokumbwa na mauti ni wapiga nyeto tu ?
Na Mauti siongelei mwili kutengana na Roho! Bali ninaamisha kuwa palipo na dhambi, pa Roho ya kuua vitu, nguvu ya ndani, motisha Binafsi n.k
Hii ni Imani yangu Mimi!