Kwanini Mtume wenu Mwamposa hupenda kufanya Makongamano yake Tanganyika Packers hasa tarehe hizi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya.

Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi.

Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia mbalimbali bado sijaona hata akiwafikia kwa 15% tu.

Haya Team Kudanganywa Nae Kutwa (TKNK) Karibuni ulingoni muanze Kujibu Hoja na Kumtetea mkidhani ndiyo mtabarikiwa nae wakati ndiyo anazidi kuwafanya muendelee kuwa Mazuzu na Masikini huku Mkifilisika kwa kwenda mbele.
 
Tapeli Mwamposa kama matapeli wengine uwajuao mjini.
 
Nadhan kweli anaangalia tarehe nzuri za mshahara
Watu watoe sadaka ya kujimaliza
Hivi hii sadaka ya kujimaliza huwa naifikiria kweli yani...watu kweli ndo hua wanajimaliza 😃😃🤔🤔
 
Toka biashara ya ukristo iruhusu matapeli wengne kuchakachua bidhaa zake ,naona kabisa kifo cha hiyo dini, na ile nyingne pinzani kupata wateja wapya.
 
Back
Top Bottom