Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Mtu Mmoja kabla ya kuanza Kuhubiri Kwake ( Mwamposa ) alikuwa na Duka Kubwa na Tajiri mno ila alivyoanza tu Kuabudu ( Kusali ) Kwake hivi sasa Dukani Kwake kuna Vibinti tu Viwili na Pakiti Moja ya Chumvi huku akiwa na hali Ngumu ya Kimaisha kuliko hata niliyonayo na niliyoizoea Mimi GENTAMYCINE.Mzee wa nani kakupa muujiza[emoji16][emoji16]🫵[emoji2536] dah mshikaji ni mwongo yule sijawahi ona na wengi wao wanaoenda huko ni wale wafupi kufikiri hasa hatma ya maisha yao.
I have never been his Foolish Supporter.Wee ni shabiki kindaki ndaki kabisa wa Mwamposa.
na wewe kaibe tu hakuna aliyekuzuia.Huyo ni mfanya biashara kama wengine jamaa jizi sana lile!!