Mkumbushe na ile ya plateu nigeriaUnafatilia mpira kwa kina bwashee,Simba CAFCL akuna mechi aliyofunga ugenini kweli au ile mechi ya As Vital 0-1 Simba kule Congo ilifutwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbushe na ile ya plateu nigeriaUnafatilia mpira kwa kina bwashee,Simba CAFCL akuna mechi aliyofunga ugenini kweli au ile mechi ya As Vital 0-1 Simba kule Congo ilifutwa?
Sawa kabisa, kinachotakiwa ni mwamuzi atende haki bila kujali ametoa red cards ngapi. Lakini, kosa aliotenda Mukoko kwa Bocco linafanana kabisa (replica) na kosa alilotenda Onyango kwa Yacouba lakini refa katoa adhabu tofauti. Tena wachezaji wote ni professionals ambao walitakiwa kuonyesha vijana wetu maana ya kuwa professional footballer nje na ndani ya uwanja.Si halali.
Yackouba nae kabla ya kusukumwa na Onyango kwanza alimsukuma Merquison mara mbili alafu Onyango akaja ghafla kumsukuma Yackouba,kwaiyo kama refa kutoa kadi ya njano angetoa pia kwa Yackouba sio kwa Onyango pekeyake.
Youkuba alimsukuma Konde mara mbili, kabla onyango hajamsukuma Youkuba, ila onyango alupewa cadi na youkuba alipendelewa.Kumsukuma mtu asiyekuwa na Mpira ni halali?
Pia linafanana na kosa la Yackouba kwa Merquison.Sawa kabisa, kinachotakiwa ni mwamuzi atende haki bila kujali ametoa red cards ngapi. Lakini, kosa aliotenda Mukoko kwa Bocco linafanana kabisa na kosa alilotenda Onyango kwa Yacouba lakini refa katoa adhabu tofauti.
Katika mpira wa miguu siku usitarajie ile neno haki likawa sahihi mara nyingi mpira wa miguu ni mchezo wa makosa kila kila dakika kuanzia wachezaji wenyewe mpaka kwa waamuzi kuamua kutoa kadi au kuamua hii faulo mara nyng inatokea pale refa anapoona inafaa na ndio maana utashangaa ktu sio halali lkn refa anasema halal na ktu halal refa anakataa mfano kama unazungumzia haki simba ilistahil penat lakini refa hakuona umuhimu japo hata mwenyewe anajua ile ni penat na si rais kuesabu matukio ya mchezo wa miguu yapo meng sana mpaka mpra unaisha na ayo hayachagui upande japo ni kwel kuna matukio au maamuz mengine ni ya makusud au ya upendeleo lkn sio kwa mechi kama ile ya juz ,na mara nyng matukio kama yale ya kusozana wachezaj ikitokea mchezaj kamsukuma mwenzake au kadundisha mpra adhabu yake ni ile ile kad ya njano ila mara nyng marefa wanapata lawama kulingana na matokeo ya timuSawa kabisa, kinachotakiwa ni mwamuzi atende haki bila kujali ametoa red cards ngapi. Lakini, kosa aliotenda Mukoko kwa Bocco linafanana kabisa (replica) na kosa alilotenda Onyango kwa Yacouba lakini refa katoa adhabu tofauti.
Kuwa mwelewa basi mkuu, Acha ushabiki wa kimahaba, mmoja alipiga akapewa nyekundu, na adhabu ya kusukuma ni kadi ya njano, bado hujaona utofauti.?Sawa kabisa, kinachotakiwa ni mwamuzi atende haki bila kujali ametoa red cards ngapi. Lakini, kosa aliotenda Mukoko kwa Bocco linafanana kabisa (replica) na kosa alilotenda Onyango kwa Yacouba lakini refa katoa adhabu tofauti. Tena wachezaji wote ni professionals ambao walitakiwa kuonyesha vijana wetu maana ya kuwa professional footballer nje na ndani ya uwanja.
Kwani hizo al ahly na kaizer si ugenini zilipigwa na mnyama auHii ndiyo sababu kubwa Simba inashinda mechi za nyumbani TU kwenye mashindano ya kimataifa, Al-Ahly na Kaizer Chiefs walizozifunga nyumbani kwa mazabe ndizo zilizocheza finali. Fluke, flukes hizi!!! Yanga kwa misimu 4 ilikuwa mbovu sana lakini pamoja na ubovu wake Simba lazima wafanye mpango kuifunga.
Si halali na adhabu yake ni kadi ya njanoKumsukuma mtu asiyekuwa na Mpira ni halali?
Naamini kauli ya simba tumeendelea zaidi kuliko ndugu zetuWajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma.
Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya kumuachia refa aamue atoe adhabu gani akajichukulia sheria mkononi ya kumpiga kiwiko Bocco na mwamuzi akamtoa nje kwa kadi nyekundu straight.
Yakuba alimfanyia makosa mchezaji wa Simba badala ya refa kumwadhibu Yacouba akatokea Onyango akamwangusha chini Yakuba kwa kumsukuma kwa nguvu na akaadhibiwa kwa kupewa kadi ya njano na kuendelea kucheza.
Swali hapa ni je, tofauti Kati ya kosa la Mukoko na kosa la Onyango ni nini?
Onyango alimsukuma mtu ambae hakumkosea yeye, Mukoko alimpiga kiwiko mtu ambae alimchezea rafu.
Bocco angeweza kuumia vibaya kutokana na kiwiko Cha makusudi na Yakuba angeweza kuumia vibaya kama angepiga kichwa chini pia.
Nakataa ile gori halina makandokando .... Inamaana Simba amefunga kwa kua yanga alikua pungufu?Refa mwenyewe ni Mbulukenge tu! Na alipewa kuchezesha ile mechi kwa makusudi kabisa ili kuhakikisha mapaka fc wanashinda!
Kama aliweza kuwazawadia goli kwenye mechi na Azam dk ya 89, hata kwenye mechi ya fainali angehakikisha anatengeneza tu mazingira ya ushindi kwa mapaka wenzake!
AS Vita msimu uliopita haikuwa kwwnyえUnafatilia mpira kwa kina bwashee,Simba CAFCL akuna mechi aliyofunga ugenini kweli au ile mechi ya As Vital 0-1 Simba kule Congo ilifutwa?
Haijalishi kama Yanga wangepewa kadi nyingi kiasi gani kama ni halali ni halali TU. Tunachosema ni zile adhabu walizopewa mukoko na onyango wakati wote wametenda dhambi inayofanana wakakti mwamuzi yuko uwanjani.Naamini kauli ya simba tumeendelea zaidi kuliko ndugu zetu
Huyo yacouba kwanza anapenda ugomvi mno. Kila muda wakiweka set piece lazima ahangaike kusogezasogeza
Ile situation kwanza kwanini refa hakumpa kadi maana alimchezea rafu pale miqqussone na pia onyango hakumfanyia chochote zaidi ya kumsukuma
Mimi nasema hivi ile mechi ya trh 25
Maamuzi yaliyotolewa na refa kwetu yangehamia kwenu afu mngefungwa pia nahisi mgeanzia maandamano hukohuko kigoma kuja dar
Red card kama mbili za yanga za wazi hazikutolewA
Hata Mukoko alimkumbusha refa ambae hakutimiza majukumu yake kuhusu kitendo alichofanyiwa na Bocco sawa na alivyofanya onyango.Kama refa angefata sheria Yackoub angepewa kadi nyekundu mapema wala Onyango asingemsukuma, Onyango alikasirika baada ya kumwona Yackoub anamsukuma mara mbili kondeboy mbele ya refa na refa hakuchukua hatua yoyote. Alichofanya Onyango ni kumwonyesha Yackoub kwamba hata Simba wanaweza ubabe na pia kumkumbusha refa kama kinachofanywa na Yackoub ni sawa basi ngoja na sisi tumfanyie.
A.S Vita ilifugwa nje ndani.Hii ndiyo sababu kubwa Simba inashinda mechi za nyumbani TU kwenye mashindano ya kimataifa, Al-Ahly na Kaizer Chiefs walizozifunga nyumbani kwa mazabe ndizo zilizocheza finali. Fluke, flukes hizi!!! Yanga kwa misimu 4 ilikuwa mbovu sana lakini pamoja na ubovu wake Simba lazima wafanye mpango kuifunga.
KWA NINI SIMBA HAIKUPEWA PENATI BAADA YA JOB/Mwamnyeto KUMFANYIA RAFU MIIKSON NDANI YA PENATI BOKS?Wajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma.
Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya kumuachia refa aamue atoe adhabu gani akajichukulia sheria mkononi ya kumpiga kiwiko Bocco na mwamuzi akamtoa nje kwa kadi nyekundu straight.
Yakuba alimfanyia makosa mchezaji wa Simba badala ya refa kumwadhibu Yacouba akatokea Onyango akamwangusha chini Yakuba kwa kumsukuma kwa nguvu na akaadhibiwa kwa kupewa kadi ya njano na kuendelea kucheza.
Swali hapa ni je, tofauti Kati ya kosa la Mukoko na kosa la Onyango ni nini?
Onyango alimsukuma mtu ambae hakumkosea yeye, Mukoko alimpiga kiwiko mtu ambae alimchezea rafu.
Bocco angeweza kuumia vibaya kutokana na kiwiko Cha makusudi na Yakuba angeweza kuumia vibaya kama angepiga kichwa chini pia.