Kwanini Mukoko alipewa kadi nyekundu na Onyango akapewa kadi ya njano?

Kwanini Mukoko alipewa kadi nyekundu na Onyango akapewa kadi ya njano?

Rudia kuangalia ile faulo ambapo Onyango alisukuma. Yacoub alikuwa anafanya uhuni ndipo Onyango akaenda kumsukuma. Alipoona kausukumwa akajitupa chini kwa nguvu- hayo yote refa aliona ndio maana akatoa njano ili tu angalau utopolo waridhike. Onyango hakustahili kadi yoyote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sheria namba gani hivyo? Kama Yacouba angeumia miserably pale utasema ni reckless.
Terry wa Chelsea aliwahi kupigwa buti hadi kuzimia lakini haikutoka kadi!So usikariri,nitafutie tukio la kusukuma ambalo mchezaji alipewa kadi Nyekundu!Tafuta lolote tu!
 
Sheria namba gani hivyo? Kama Yacouba angeumia miserably pale utasema ni reckless.
Sheria namba 12,"Fouls and Misconduct"!

Ukiisoma utaona makosa yanayoangukia kwenye Yellow card na Yale yanayoangukia kwenye Red card!

Kitendo alichofanya Onyango kinajumuishwa kwenye unsupported behaviour!
Kosa la Mukoko ni serious foul play!

Nakualika leo saa 3.30 usiku Azam sports 1 utapata darasa kuhusu mambo mengi yaliyotokea kwenye mechi hiyo!
 
ushindi wa kununua ndio madhara yake hayo, mtaishia robo finali kwa ujanjaujanja kila siku.
Ninyi nao mtaishia wapi Kila siku!Mashabiki wa Yanga Ni Kama mmelogwa vile!Hamuelimiki,ubishi mbele!
 
Sheria namba 12,"Fouls and Misconduct"!

Ukiisoma utaona makosa yanayoangukia kwenye Yellow card na Yale yanayoangukia kwenye Yellow card!

Kitendo alichofanya Onyango kinajumuishwa kwenye unsupported behaviour!
Kosa la Mukoko ni serious foul play!

Nakualika leo saa 3.30 usiku Azam sports 1 utapata darasa kuhusu mambo mengi yaliyotokea kwenye mechi hiyo!
Poa
 
Kwa mujibu wa Othuman kazi,kitendo alichofanya Mukoko ni "Violent conduct",hii inakwenda na straight red card na kukosa mechi 3!
 
Ninyi nao mtaishia wapi Kila siku!Mashabiki wa Yanga Ni Kama mmelogwa vile!Hamuelimiki,ubishi mbele!
Mimi na wewe zaidi ya furaha timu zetu zikifanya vizuri hatuna gains nyingine. Yaani hata Yanga ikijaza chumba kwa vikombe mimi njia zangu za kuishi zitabaki zilezile. Ndio maana mimi siongei kinazi bali naongea kama mtanzania anayependa ligi yake iwe bora Africa. Siwezi kuitetea Yanga hata inapotumia njia ambazo haziisadii kuchukua makombe ya CAF kutoka Al-Ahly.

Bila kujali usimba na uyanga tujali mpira wetu ingawa utani wa jadi utakuwepo lakini usizidi kiasi Cha kushangilia timu za kigeni zinapocheza na timu zetu. Ni ujinga kushangilia mchezaji mgeni (Mukoko)
We jamaa ni zezeta kumbe
Subirini jukumu ya Morrison ndiyo mtajua Simba ni janjajanja TU.
 
Terry wa Chelsea aliwahi kupigwa buti hadi kuzimia lakini haikutoka kadi!So usikariri,nitafutie tukio la kusukuma ambalo mchezaji alipewa kadi Nyekundu!Tafuta lolote tu!
Kwahiyo ile yellow kaitoa kwasababu gani. Janjajanja ya Simba hadi mkamfukuza Manara. Simba ni under dog kwa Yanga, ndio maana ya mambo yote haya.
 
Mimi na wewe zaidi ya furaha timu zetu zikifanya vizuri hatuna gains nyingine. Yaani hata Yanga ikijaza chumba kwa vikombe mimi njia zangu za kuishi zitabaki zilezile. Ndio maana mimi siongei kinazi bali naongea kama mtanzania anayependa ligi yake iwe bora Africa. Siwezi kuitetea Yanga hata inapotumia njia ambazo haziisadii kuchukua makombe ya CAF kutoka Al-Ahly.

Bila kujali usimba na uyanga tujali mpira wetu ingawa utani wa jadi utakuwepo lakini usizidi kiasi Cha kushangilia timu za kigeni zinapocheza na timu zetu. Ni ujinga kushangilia mchezaji mgeni (Mukoko)

Subirini jukumu ya Morrison ndiyo mtajua Simba ni janjajanja TU.
Achana na mpira kama kwako hauna faida!Mnalalama kama watoto wa kike!Tengenezeni kikosi cha ushindani sio kila siku kujificha kwenye lawama zisizo na mbele wala nyuma!
 
Kwahiyo ile yellow kaitoa kwasababu gani. Janjajanja ya Simba hadi mkamfukuza Manara. Simba ni under dog kwa Yanga, ndio maana ya mambo yote haya.
Uambiwe mara ngapi kuwa ile ilikiwa foul lakini ni ya kawaida na adhabu yake ndiyo hiyo kadi ya njano?Utopolo mmelogwa ninyi!
 
Uambiwe mara ngapi kuwa ile ilikiwa foul lakini ni ya kawaida na adhabu yake ndiyo hiyo kadi ya njano?Utopolo mmelogwa ninyi!
Unasema ujinga wa kinazi. Wapi atoe njano Njano na wapi atoe nyekundu ni sehemu ya janjajanja za mo na wenzake, yaani anawatuliza wana Simba wanaodai 20 b zao kwa kuwatuliza na ushindi wa mechi za kununua na janjajanja. Mchakato wa kuipata Simba ulikuwa wa janjajanja iliyopata baraka za TFF na wanazi wa Simba wenye madaraka.
 
Kweli wew ni kiazi uliyepitiliza,aisee!Utopolo kama utopolo kwenye ubora wao!
 
Wewe unaendeshwa na matukio badala ya wewe kuyaendesha matukio, pouyouyo.
Akili yako ndio imeishia hapo!Hujachelewa,jielimishe kuhusu sheria za mpira la sivyo utateseka sana!
 
Unafatilia mpira kwa kina bwashee, Simba CAFCL hakuna mechi aliyofunga ugenini kweli au ile mechi ya As Vital 0-1 Simba kule Congo ilifutwa?
Sasa mkuu sisi kina bwashee tumekukosea nin
 
Ulaya na nchi za wenzetu ata apa apa Africa timu zikifanya vibaya lawama shutuma zinaenda kwa viongoz makocha na wachezaj ila apa tanzania ipo tofaut timu ikifanya vibaya wanalaumiwa wote et ad chama cha soka nacho kinapewa lawama kufanya vibaya kwa timu Man u ina mwaka unaenda wa nane tena ata kubeba epl hawama matumain lkn usikii lawama kupewa fa sio kwamba fa au marefa wa England wapo sahihi kwa kila ktu hapana wanakosea sana kama ilivyokua kwetu lkn inajurkana ubora wa timu ni muhimu kulko makosa ya chama cha soka au marefa ,timu zetu zikiwa mbovu tukubal na tujipange tunawapa lawama watu ata wasiousika kisa matokeo ya uwanjan vtu vyote ambavyo yanga au timu nyngne apa Tanzania zinalalamika na kuishutumu tff vipo karbu kila sehem ila ukiwa na timu bora ayo makosa yakitokea unaona si ktu unasonga mbele
Yanga mbovu, kikundi cha wahuni wale na yale wachezaji wao wa Youtube
 
Back
Top Bottom