Kwanini Mukoko alipewa kadi nyekundu na Onyango akapewa kadi ya njano?

Hawa kenge wa yanga wengi hawafuatilii mpira huwa wanasimuliwa na mademu zao tu.Hakumbuki hata Nigeria tulishinda ugenini
Unafatilia mpira kwa kina bwashee, Simba CAFCL hakuna mechi aliyofunga ugenini kweli au ile mechi ya As Vital 0-1 Simba kule Congo ilifutwa?
 
Hayafanani.Tatizo mpira huwa hamuangalii.
 
Huyo dogo ni utopolo si ajabu hata si mwanaume huyu.Maana ubishi wanaofanya ni wa kike mno.
Terry wa Chelsea aliwahi kupigwa buti hadi kuzimia lakini haikutoka kadi!So usikariri,nitafutie tukio la kusukuma ambalo mchezaji alipewa kadi Nyekundu!Tafuta lolote tu!
 
Kwenye mpira hakuna retaliation, kulipiza Kwenye Mpira haimaanishi huna hatia
 
Ypu have been totally utopolized...
 
Onyango bhana ni umri ndio mlibeba kama babu wakampa warning ⚠️ yaan uzee
 
Ypu have been totally utopolized...
Kuna uwezekano mnacho kitengo ndani ya kamati ya ufundi kinachohusika na kunyong'onyesha nguvu za wapinzani wanapokuwa kwenye uwanja wa Nkapa,alahu yalamu. Hapo ndipo ukaibuka msemo wa kila mtu ashinde kwao.

Nilishawahi kuandika humu kuwa Simba wakati wanakabiliwa na mechi za ndani na za kimataifa waliunda kamati na kutenga fedha kwaajili ya mashindano ya ligi ya VPL, pesa ndizo zilizokwenda kwa waamuzi, wachezaji kama akina Mnata, Lamine na wengine ambao ama walicheza chini ya kiwango au waliigiza kuumwa ili wasipangwe mechi muhimu muhimu kwenye ili timu zitoke sare au zifungwe. Hapo ndipo ukaibuka msemo wa kila mtu ashinde zake.
 
We jamaa utakuwa chakula ya mtu unaimba taarabu kabisa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa sababu ya rangi za jezi zao yaani Mukoko alivaa jezi ya njano ikabidi apewe kadi nyekundu na Onyango alivaa jezi nyekundu ikabidi apewe kadi ya njano!
 
Kiukweli we jamaa hueleweki hata unataka nini. Unalaumu kuhusu kadi ya njano, mara kununua refa, mara mechi za ligi, mara kimataifa..... Hii ni moja ya dalili za psychosis inaitwa flight of ideas.

Una upenzi na team ambayo haifanyi vizuri so matatizo yako na team yako una"project" kwenda simba.

Ushaelezwa onyango alipewa kadi ili tu kubalance mchezo maana vilevile yacouba alistahili kadi kama ya onyango, hakuna timu inaongoza kwa kulia hapa bongo kama yanga. Imagine zile penalty mbili zingetolewa, kadi za njano karibia timu nzima ingepata ila refa alikuwa upande wenu mnasema simba imebebwa.

Yaani wenzenu wako live kucheza soka nyie kulialia tu. Tengenezeni timu acheni kutafuta huruma na visababu vya kijinga.
Unakera sana jamaa unang'ang'ania wakati ushaelezwa kisheria kabisa ila unalazimisha.
 
timu isiyofanya vizuri ndiyo inastahili wachezaji wake kuonewa? suluali kipande wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…