Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anamwona lakini si katika hali iliyokusudiwa. Lugha ya Bible imejaa kificho au ustaarabu.Naombeni jibu
Adamu alijificha sababu aliona 'aibu' baada ya kujijua yupo 'uchi'....Naombeni jibu
Mungu anajua umejificha ila anataka wewe mwenyewe ukiri umejificha,Naombeni jibu
Mkuu nimependa jibu lako...Hapana. Ni kinyume chake. Ukijificha wewe ndiye huwezi kumwona Mungu.
Mungu alimwita Adamu ili arudi katika utimamu wake wa akili, ajue kwamba hitaji lake ni Mungu na si kinginecho, ama awe nuruni au gizani.
Kwa hiyo Mungu alichukua hatua ya kumwita Adamu kwa niaba yake Adamu.
Alimfanyia kile ambacho Adamu alipaswa kufanya mwenyewe baada ya kwenda kinyume na Mungu.
Majifunzo: Usijifiche na kujitosa gizani zaidi unapomkosea Mungu. Mwite, ataitika na kukusaidia kabisa.
Hii ni tafsiri yako au? Sasa mi nikija na tafsiri yangu na yule akaja na tafsiti yake itakuwaje. Kumbuka hakuna mwenye umiriki wa tafsiriAdamu alijificha sababu aliona 'aibu' baada ya kujijua yupo 'uchi'....
Mungu alimuita Adamu ila asikie jibu kutoka kwa Adamu kwanini alijificha..
Kwahiyo Mungu alikuwa hajui kwanini Adam amejificha?Adamu alijificha sababu aliona 'aibu' baada ya kujijua yupo 'uchi'....
Mungu alimuita Adamu ila asikie jibu kutoka kwa Adamu kwanini alijificha..
Alijua ila alitaka kusikia jibu la AdamuKwahiyo Mungu alikuwa hajui kwanini Adam amejificha?
We unajuaje kama alijua. Kwani mlikuwa wote au hiyo ni intuition yako tuAlijua ila alitaka kusikia jibu la Adamu
Ni kweli, Kila hatuwezi kulingana tafsiri na huwezi kukwepa hilo.Hii ni tafsiri yako au? Sasa mi nikija na tafsiri yangu na yule akaja na tafsiti yake itakuwaje. Kumbuka hakuna mwenye umiriki wa tafsiri
Nimeshajibu hiliWe unajuaje kama alijua. Kwani mlikuwa wote au hiyo ni intuition yako tu
Kivipo nisikwepe wakati ni tafsiri yako wala Mungu hajashuka akasema kwamba alimaanisha niniNi kweli, Kila hatuwezi kulingana tafsiri na huwezi kukwepa hilo.
Kwani umekatazwa kuweka tafsiri yako?Kivipo nisikwepe wakati ni tafsiri yako wala Mungu hajashuka akasema kwamba alimaanisha nini
Tafsiri yangu ndo hiyo hapo kwenye heading kwamba ukinificha viziri Mungu hana uwezo wa kukuonaKwani umekatazwa kuweka tafsiri yako?
Kwanini unahangaika na kitu ambacho hakieleweki soma unacho elewaKitabu gani hakieleweki kila kukicha ni editing tu. Naskia hata sala ya baba yetu papa anataka ku iedit kwamba mungu hawezi kututia majaribuni
Sawa.....Tafsiri yangu ndo hiyo hapo kwenye heading kwamba ukinificha viziri Mungu hana uwezo wa kukuona