TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Mungu anayo majina mengine mengi kulingana na lugha, tamaduni na kabila.. Hivyo Mungu hana jina MOJAMiongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Kwamba hata Mungu hana uwezo wa kuiua hiyo roho(shetani)!!??Mungu anayo majina mengine mengi kulingana na lugha, tamaduni na kabila.. Hivyo Mungu hana jina MOJA
1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8
2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1
3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9
4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9
5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7
6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18
7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1
8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3
9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6
10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26
11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13
12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1
13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14
14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6
15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15
16. JEHOVA SHALOM -Bwana ni Amani, waamuzi 6:24
17. JEHOVA SHAMMAH -Bwana Yupo Hapa, Ezekiel 48:35
18.El-hai-Mungu aliyehai,Joshua 3:10,1 Samwel 17:26
19.El-elohe-israel-Mungu wa Israel, Mwanzoh 33:20
20.El-Olam-Mungu wa milele,Ufunuo 4:8,kutoka 3:14
Shetani sio mwili ni roho na roho ikizaliwa haifi
Mungu mwenyewe ni rohoKwamba hata Mungu hana uwezo wa kuiua hiyo roho(shetani)!!??
Kumbe aliachwa Hai?Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Paragraph ya mwisho ni sawa, ila ulivyo anza juu ya jina ni swali la kitotoMiongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Mungu ni matendo yako mema. Shetani ni matendo yako maovuMiongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Nakubaliana nawe lakini unaposema Jehova Shammah kwa mfano,tafsiri yake ni MUNGU mwenye nguvu,,ukitazama hayo yote yanaleta sifa ya huyo Mungu,ambaye jina lake thabiti ni MUNGU,Orodha yako yote inaanza na MUNGU nakumalizia na sifa(labda ni kwa sababu ya utofauti wa lugha,hoja yangu ni kwamba kwanini MUNGU ASINGEITWA JUMA,AMA MWIJAKU,AMA MSHANA NK,AKAITWA MUNGU,kunipatia hayo majina yeye sifa ni sawa na kuniambia JUMA MJANJA,JUMA MPOLE,JUMA MWIZI,JUMA MPONYAJI NK.I want a clear fact why was he name GOD and not other name,when you look carefully your bible,the bible detailed why LUCIFER was so named with that name,but not GOD.Mungu anayo majina mengine mengi kulingana na lugha, tamaduni na kabila.. Hivyo Mungu hana jina MOJA
1. ADONAI-Mungu Mwenye Enzi Yote Mwanzo 15:2-8
2. EL – SHADAI-Mungu ututoshelezae/Mungu mtoshelezi
Mwanzo 17:1
3.EL-OHEENU- Bwana Mungu Wetu Zaburi 99:5,8,9
4. EL- GIBBOR- Mungu Mwenye Nguvu, Isaya 9:6-9
5. EL-OHEEKA- Bwana Mungu Wako Kut 20:2,5,7
6. EL-ELYON -Mungu Aliye Juu Sana Mwanzo 14:18
7. EL-OHIM- Muumbaji wa Milele Mwa 1:1
8. YEHOVA- SABAOTH Bwana wa Majeshi 1Samwel 1:3
9. JEHOVA TSIDKEMU -Bwana ni Haki Yetu Yeremia 23:6
10. JEHOVA RAPHA- Mungu Atuponyae,kutoka 15:26
11. JEHOVA MEKADDISHKEM- Mungu atutakasaye Kutoka 31:13
12. JEHOVA ROHI-Bwana Mchungaji Wangu Zaburi 23:1
13. JEHOVA JIREH- Mungu Atupaye /Atoaye Mwanzo 22:14
14. JEHOVA HOSEENU -Bwana Aliyetuumba Zaburi 95:6
15. JEHOVA NISSI- Bwana ni Beramu (Bendera)
yangu
Kutoka17:15
16. JEHOVA SHALOM -Bwana ni Amani, waamuzi 6:24
17. JEHOVA SHAMMAH -Bwana Yupo Hapa, Ezekiel 48:35
18.El-hai-Mungu aliyehai,Joshua 3:10,1 Samwel 17:26
19.El-elohe-israel-Mungu wa Israel, Mwanzoh 33:20
20.El-Olam-Mungu wa milele,Ufunuo 4:8,kutoka 3:14
Majina haya yapo katika Lugha za kiebrania
Shetani sio mwili ni roho na roho ikizaliwa haifi
hilo ni suala la maana katika lugha husika,ukirudi katika uhalisia wa kuitwa hivyo na tukawa na tafsiri hiyo moja,yaani MUNGU mbaye ni GOD,ambaye ni SEBA nk,ningesemabasi kwanini LIITWA SEBA na sio ELIA,ndio hoja yanguMungu wana majina mengi.
Kwenye Kiswahili kuna mswahili mmoja alitunga neno Mungu
Wasukuma wanasema Seba
Wazungu wanasema God
Wachina wanasema 上帝
Wahindu wanaita ਹਡਜਗ
kwanini naye aliitwa YESU, na katika biblia YESU anajina jingine anaitwa EMMANUEL yaani MUNGU MWENYE NGUVU,why JESUSHata YESU ni jina la Mungu.
kama ni matendo kwanini MUNGU NA SHETANI huwakilisha jina na sio TENDO?,na tangu lini mtu akapewa tendo badala ya jina katika kujitambulisha?Mungu ni matendo yako mema. Shetani ni matendo yako maovu
Jibo hoja acha uvivu,ni ulize mimi kwanini naitwa AIMENTER na sio G'taxi nitakujibu kwanini naitwa hivyo na sio vinginevyo,hebufanya kama kweli unakichwa chenye ubongo wenye akili,labda kama unakichwa chenye ubongo ulio kosa akili naweza kufunga mjadala nawe ukithibitisha hiliParagraph ya mwisho ni sawa, ila ulivyo anza juu ya jina ni swali la kitoto
ingekuwepo sababu ya msingi yakupewa hilo jina lahasha angepewa lakini naweza kuzani haikuwepo isipokuwa ya jina hili MUNGU,ndicho hicho nakitafutaAngepewa hilo jina jingine ungekuja hapa kuuliza kwanini hakupewa hili alilonalo leo.
tatizo lipo palepaleKumbe aliachwa Hai?
Mimi mawazo yangu yote nilijua aliachwa pale Himo.
Anashindwaje wakati yeye ni moto ulao,si ndio maandiko yasemavyoKwamba hata Mungu hana uwezo wa kuiua hiyo roho(shetani)!!??