Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Sawa ila anavyoumba alafu baadae tunapelekwa tena jando kwa gharama sasa kwani asingemaliza huku huko kwenye uumbaji
 
Kukuumba umetahiriwa ni kukuruhusu pia ufanye uzinzi....swali ni Kwa nini hakukuumba bila hiyo penseli na Mwanamke Kwa nini hakuumbwa bila kile kichongeo ....Ile siku mnafunga ndoa ndio akawapa!!?
 
Wazi kubwa wapi!?..atakuja mwingine atasema kwa nini mtu hakuzaliwa na meno na akili ili ale maini moja kwa moja, mwingine atasema kwa nini kumpa tabu mwanamke kubeba mimba na kuzaa kwa uchungu badala ya Mungu kutoa kopi na kutushusha tu duniani
MKuu inamankusweke, sasa sikiliza..
Mtu kupitia mabadiliko ya kawaida katika ukuaji huwa hayana hoja yoyote ile kwa sababu ndio huelekea ukamilifu wake..

Swala linakuja kwanini kuondoke kwa baadhi ya vitu alivyonavyo ndo tupate ukamilifu?

Kuhusu Kuzaa kwa uchungu ni swali la Muhimu sana kwanini atoe adhabu ambayo Itagharimu watu ambao hawakufanya kosa we huoni kama ni kosa hilo?
 
Napata wasiwasi sana na maandiko
 
Huwa hakuna swali la kijinga duniani. Sina jibu mkuu "afsa usafiri na usafirishaji"!Mimi mwenyewe huwa najiuliza:Kwa nini Mungu hakuumba binadamu awe ameshazeeka kabisa?[emoji848]
Hii ngumu maana mtu kuzeeka tayari alikua hadi kukomaa kufikia kuzeeka
 
Wapo pia wanaotoa hoja kwa nini Wana shida za maisha..ni fikra nyepesi wakidhani ni nzito
 
Wapo pia wanaotoa hoja kwa nini Wana shida za maisha..ni fikra nyepesi wakidhani ni nzito
Yeah lazma ujiulize pia Fikiria kama duniania kuna Mtu anamiliki Trilion Dollars halafu kuna mwingine hana hata Senti hamsini ya kipange au Shilingi Ya duara..

halafu yule mwenye Trilion Haujui msikiti wala Kanisa ila yule asiye kitu anashinda msikitini au kanisani kuomba na kuabudu kwa dhati ila hana analopata..
Mkuu kuna vitu vinafikirisha sana kuvijibu ila Jaribu kuwaza
 
Umenielewa mkuu
 
Kabla ya kujiuliza kwa nini Mungu aliumba govi lazma tujiulize je, halina faida yoyote na kuna utofauti gani kati ambaye aliyenayo na ambae hana ukiachilia hii hali ya watu kuhisi aibu kama hawajatahiriwa
 
Ndiyo maana Pana zaka na sadaka,muajiri na muajiriwa..ili kubalance,halafu uislam hautaku mtu ashinde msikitini,unataka akafanye kazi,Kuna muda wa swala na kazi,Kuna watu swala Tano,wema na Wana matrilioni,mwenyezi Mungu humpa amtakae na kumnyima amtakae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…