Naskia babu zako walikua wanapiga miti Kwenye ngazi ndo maana umerith uchoko, kwenye familia yenu naskia kila kizaz kinachoko mmoja na kizaz hiki ndo wwAliogopa, kwani kwa umoja wao wangetengeneza ngazi itakayofika hadi mbinguni na hata kumletea madhara.
Sometimes kinyago ulichokichonga kinakutisha, mkuu.
hahahahahaha,wao wakakusanyikaWaliambiwa watawanyike waijaze nchi wao wakajifanya wana akili mingi.
Hahahhhhhh juzi juzi kawa chamba malaika leo naona amewatembelea wababeli... na mjengo wao!Nilitaka nishangae....siku iishe bila Yoda kumlaumu Mungu...??
Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya.
Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja na kufanya mambo yao kwa umoja?
Na sasaivi tunajua kabisa hata angewaacha wakaendelea kujenga wasingefika popote maana hakuna "mbingu" iliyopo huko juuAliogopa, kwani kwa umoja wao wangetengeneza ngazi itakayofika hadi mbinguni na hata kumletea madhara.
Sometimes kinyago ulichokichonga kinakutisha, mkuu.
Hiyo haikuwa sababu kwa mujibu wa maandiko ya Biblia.Aliogopa, kwani kwa umoja wao wangetengeneza ngazi itakayofika hadi mbinguni na hata kumletea madhara.
Sometimes kinyago ulichokichonga kinakutisha, mkuu.
Hawakutawanya kwa sababu ya kujenga mnara kuelekea juu bali kwa sababu walikuwa wanajenga na kuendeleza mji wao.watu wa eneo hilo waliamini katika mungu mkuu,alie juu,yaani the most high,huyo mungu aliitwa El,,ndo deity aliekuwa akiabudiwa eneo hilo kama mkuu wa miungu mingine yote,so waliamini mungu huyo anaishi maeneo ya juu kama milimani,etc,,ndo masna hata moses alupotaka kuongea na mungu alienda mlimani,na pia yesu,
sasa kitendo cha kujenga jumba la ghorofa,ilichukuluwa kama kutaka kujifananisha na mungu,ilikua ni abomination,
ule mnara wa babel ulifail simply because hawakuwa na vifaa kama nondo,etc,na hawakuwa na ujuzi kama wa wamisri wa kujenga yale mastructure makubwa nimesahau yanaitwaje
Hawakutaka kumfikia mungu, walikuwa wanajenga mnara mrefu wa kuwapa sifa kama vile tu leo Waarabu walivyojenga Burj Khalifa.Biblia imeweka wazi: walitaka kumfikia Mungu.
Ujuaji wa binadamu ni upotovu mtupu.
Hata binadamu wa sasa amejivuruga na teknolojia. Hii AI ndio zaidi ya janga
Kumbuka Kuna Mungu uyu wa kuanzia herufi kubwa na mungu uyu mdogo wa kuanzia herufi ndogo.watu wa eneo hilo waliamini katika mungu mkuu,alie juu,yaani the most high,huyo mungu aliitwa El,,ndo deity aliekuwa akiabudiwa eneo hilo kama mkuu wa miungu mingine yote,so waliamini mungu huyo anaishi maeneo ya juu kama milimani,etc,,ndo masna hata moses alupotaka kuongea na mungu alienda mlimani,na pia yesu,
sasa kitendo cha kujenga jumba la ghorofa,ilichukuluwa kama kutaka kujifananisha na mungu,ilikua ni abomination,
ule mnara wa babel ulifail simply because hawakuwa na vifaa kama nondo,etc,na hawakuwa na ujuzi kama wa wamisri wa kujenga yale mastructure makubwa nimesahau yanaitwaje
Ndio mada zake daily.. Halafu zimejaa ujinga mwingi sana na upotofu wa kutosha😂Nilitaka nishangae....siku iishe bila Yoda kumlaumu Mungu...??