Kwanini Mungu hakutaka watu wa Babeli washirikiane kufanya mambo makubwa kwa ni moja na umoja ?

Mkuu mbona siku hizi mada za kichawi na uganga huleti tena?
Nifundishe nama ya kutumia chumvi na mafuta niwe bilionea😁
Hizi dhihaka ni old fashioned man😎
 
Kumbuka Kuna Mungu uyu wa kuanzia herufi kubwa na mungu uyu mdogo wa kuanzia herufi ndogo.
Sasa sijui wewe una maanisha yupi...?
Unaweza ukaniambia hiyo ni kwasababu gani? Isije ikawa unatumia mazoea tu ambayo umekuta hivyo.
 
Zile Pyramid za misri hazijaelezewa kwenye bibilia mkuu. Hadi leo bado ni kitendawili namna gani zilisimamishwa
 
Kupinduliwa kusikie tu kwa jirani. Hata sir God hawezi achia kiti cha Enzi kizembe😎... Isaya 14:13. Kasome hapo ujue ni nini kilimpata shetani alipotamani kile kiti cha Enzi.....yaani alitamani tu.... Kwa hiyo ccm wanapita mulemule
 
Hawakutawanya kwa sababu ya kujenga mnara kuelekea juu bali kwa sababu walikuwa wanajenga na kuendeleza mji wao.
habari kuwa eti walichanganywa lugha inaji contradict,,maana hata kabla ya tukio la mnara,lugha zilikuwepo
 
Walikua wanarishana ujinga kwa pamoja. Ni sawa na ccm wanavyolishana uchawa kwa pamoja, bila kuwa na lugha tofauti uchawa utamaliza Taifa. Kama Iq ndogo usiulize swali, sitajibu.
 
Kupinduliwa kusikie tu kwa jirani. Hata sir God hawezi achia kiti cha Enzi kizembe😎... Isaya 14:13. Kasome hapo ujue ni nini kilimpata shetani alipotamani kile kiti cha Enzi.....yaani alitamani tu.... Kwa hiyo ccm wanapita mulemule
uzuri ccm sio Mungu, siku yake yaja
 
Hiyo haikuwa sababu kwa mujibu wa maandiko ya Biblia.
Hata hivyo mbona leo kuna minara mirefu sana inajengwa kuliko huo wa Babeli na Kuna hadi vyombo vya kwenda mwezini na Mars ila haimsumbui??
Labda yeye kasogea juu zaidi, kwenye mbingu ya Saba.
 
Time wastage!. Walidhani Angani ndio Mbinguni?🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umoja ni nguvu ilo ata Mungu analijua na ndo maana hakutaka litokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…