Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Mwaka 1993 nikiwa Mlingotini nilishuhudia kwa macho yangu wananchi wakimtandika mzee mmoja ili alie machozi yatoke yaguse ardhi ndo mvua inyeshe.

Mzee yule alikuwa banditu kwelikweli hakutoa chozi mpaka alipokuja kuokolewa na mwenyekiti wa kijiji na mvua haikunya
 
Imani potofu hii
 
Back
Top Bottom