Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Itaanza mwezi wa Tano wasita mpaka wa tisa Tanga ni mjibwa joto laziada so hadi mwezi wa Tano ndio itaanza masika jomba , nimeishi huko eti napajua
 
Specify tanga mjini labda, Lushoto Central Mvua imenyesha kubwa tuuuu
 
Itaanza mwezi wa Tano wasita mpaka wa tisa Tanga ni mjibwa joto laziada so hadi mwezi wa Tano ndio itaanza masika jomba , nimeishi huko eti napajua
Si kweli shangazi.... nimeishi tanga for about 30 yrs, haya ya kukosa mvua mwezi wa tatu (march) nayaona kama miaka 5-6 nyuma. zamani ilikuwa kiama mezi wa tatu masika.....au wasemaje shangazi?
 
Leo hii jioni nimeacha inapiga kubwa tuu.

Anewey
Today this i left it beat very big.
True imeanza juzi juzi tu, kinyue kabisa na tulivyozoea Lushoto hata tanga.
 
...which makes justice nothing more than the flip of a coin. The outcome, unpredictable.

Heads, You Die
 
Mbunge wenu si alisema ataleta barabara, mvua, na hospital
 
Nilishuhudia kwa macho yangu baadhi ya vijana na wazee wakifanya madawa ya kishirikina ili mvua isije, sababu yao kubwa ni kazi yao ya kukata mkaa haitafanyika hivyo watashindwa kulipa marejesho ya pikipiki za mkopo wanazofanyia kazi.
Vilifunikwa vyungu, vinu, na kuzikwa mapembe na mahirizi, hii ilikuwa Tanga Wilaya ya Mkinga.
Je wanaweza kuzuia mvua kwa muda gani ? Mwezi, miezi au?
 
Hata huku nilipo hamnaaa kabisaaa...nahisi kuna wazee washatikisa mita huko mbinguni
 
Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
Tanga mjini au unamaanisha mkoa wa Tanga nzima...maana huku niliko inanyesha mpaka tunahofia vijumba vyetu
 
Tanga mjini au unamaanisha mkoa wa Tanga nzima...maana huku niliko inanyesha mpaka tunahofia vijumba vyetu
wapi huko? basi mna heri, Tanga mjini kukavu na tanga nzima kwa ujumla labda kama imeanza wiki hii
 
Back
Top Bottom