Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Kwanini mvua hainyeshi Tanga?

Nilishuhudia kwa macho yangu baadhi ya vijana na wazee wakifanya madawa ya kishirikina ili mvua isije, sababu yao kubwa ni kazi yao ya kukata mkaa haitafanyika hivyo watashindwa kulipa marejesho ya pikipiki za mkopo wanazofanyia kazi.
Vilifunikwa vyungu, vinu, na kuzikwa mapembe na mahirizi, hii ilikuwa Tanga Wilaya ya Mkinga.
 
Sasa hivi vina husika vip na mvua ? hii JF siku hizi aiseeee, njoo huku Sumbawanga mvua za kutosha, uchawi ni utamaduni sio jambo la kuathiri m

Sasa hivi vina husika vip na mvua ? hii JF siku hizi aiseeee, njoo huku Sumbawanga mvua za kutosha, uchawi ni utamaduni sio jambo la kuathiri mvua
Unaweza sema hivyo lkn omba wasipite kwenye ukoo wako maana utajuta

Lkn uchawi na uganga wa tanga ni kuua mtu bila sababu
Wa huko sio hivyo
 
Unaweza sema hivyo lkn omba wasipite kwenye ukoo wako maana utajuta

Lkn uchawi na uganga wa tanga ni kuua mtu bila sababu
Wa huko sio hivyo
Uchawi ni tamaduni hauna shida yeyote kwenye mvua, hata huku Sumbawanga ukileta mambo meusi unapigwa SCARD
 
Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
ila kweli, ufirauni umezidi, cheki hapa [emoji116]
20230318_153356.jpg
 
Nilifikiri ukanda wa pwani wote kama ilivyo Dar mvua zinanyesha.
Kama mvua bado zinaendela kusuasua tena mwaka huu hali ya chakula itakuwa siyo nzuri hapo mbeleni. Somalia hali imekuwa ngumu sana baada ya kukosa mvua kwa misimu mitano mfululizo, mamia wanakufa kwa njaa kila siku na juzi ameenda katibu mkuu wa UN.

Sasa badala nchi ije na strategies za namna ya kuongeza uzalishaji wa chakula kwa ajili ya usalama wa chakula wa nchi na eneo zima la East Africa and The Horn of Africa watu wanashindana kuiba kwenye invoice, Mpina anasema kumbe hata kwenye mbolea ya ruzuku ni kiini macho wakulima hawaipati hiyo mbolea na pesa zimeshatolewa.....
 
Tuache utani mikoa ya kaskazini mvua zimegoma
Kilimanjaro inapiga kwa mgao halkadhalika na huku Kia hadi chuga.
 
Nchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?

Nchi yote inanyesha mvua wapi kaka? Mbona niko dodoma mjini hapa joto na jua kali?
 
Usitake kutuaminisha kuwa wewe umewahi kuishihuko, wewe hata Morogoro tukiacha Tanga haujawahi kufika.
Mbona iko wazi , US na ulaya mvua zina nyesha vizuri wala haina haja ya kufika ili ujue hili jambo, japo huko US na Ulaya ushoga ndio HQ, kwahiyo shida ya Tanga ni uharibifu wa mazingira sio hizo blah blah nyingine
 
Kumbuka ushenzi huo umetoka arabuni
 
Back
Top Bottom