Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unawajua wasambaa mkuu? Hao jamaa wamekomaa miguu kama chuma, mkikutana ugoko kwa ugoko, kesho huamki
Si kweli shangazi.... nimeishi tanga for about 30 yrs, haya ya kukosa mvua mwezi wa tatu (march) nayaona kama miaka 5-6 nyuma. zamani ilikuwa kiama mezi wa tatu masika.....au wasemaje shangazi?Itaanza mwezi wa Tano wasita mpaka wa tisa Tanga ni mjibwa joto laziada so hadi mwezi wa Tano ndio itaanza masika jomba , nimeishi huko eti napajua
from when?Specify tanga mjini labda, Lushoto Central Mvua imenyesha kubwa tuuuu
Leo hii jioni nimeacha inapiga kubwa tuu.from when?
True imeanza juzi juzi tu, kinyue kabisa na tulivyozoea Lushoto hata tanga.Leo hii jioni nimeacha inapiga kubwa tuu.
Anewey
Today this i left it beat very big.
kapa...which makes justice nothing more than the flip of a coin. The outcome, unpredictable.
Heads, You Die
Je wanaweza kuzuia mvua kwa muda gani ? Mwezi, miezi au?Nilishuhudia kwa macho yangu baadhi ya vijana na wazee wakifanya madawa ya kishirikina ili mvua isije, sababu yao kubwa ni kazi yao ya kukata mkaa haitafanyika hivyo watashindwa kulipa marejesho ya pikipiki za mkopo wanazofanyia kazi.
Vilifunikwa vyungu, vinu, na kuzikwa mapembe na mahirizi, hii ilikuwa Tanga Wilaya ya Mkinga.
Tanga mjini au unamaanisha mkoa wa Tanga nzima...maana huku niliko inanyesha mpaka tunahofia vijumba vyetuNchi yote inanyesha mvua isipokuwa Tanga. Kuna nini? wataalamu wa hali ya hewa tusaidieni hali hii inasababishwa na nini?
wapi huko? basi mna heri, Tanga mjini kukavu na tanga nzima kwa ujumla labda kama imeanza wiki hiiTanga mjini au unamaanisha mkoa wa Tanga nzima...maana huku niliko inanyesha mpaka tunahofia vijumba vyetu