Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kama Stivi Nyerere ni daktari basi hata mbwa wangu ni profesa emiritus kkkkk.Ati daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
Nyerere alikuwa msomi mwenye IQ kubwa, He was able to use his higher mental faculties to decipher issues around him using intelligence, reason, sense, brain, talent, mentality, smarts, brainpower, intellectualism, and aptitude. Hawa wengine ni takataka za intellectuality! takataka za elimu,View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Is Elon a scientist per se? as was Abert Einstein?Ati daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
what do you mean?fake identity
Hali ya kutojitambua. Kutokujua wewe ni nani, kwanini upo hapa na kwa makusudi gani. Hali hii hupelekea kuwa na utambulisho wa bandia ambao sio halisi na kupelekea mtu kujitambulisha sivyo alivyo pasipo ufahamu.what do you mean?
🙋♂️👏👏👏🙏Ni choice ya mtu tu, hata Obama na mkewe wako level za udaktari wa kitaaluma, lakini hawapendi kutumia utangulizi huo. Ni suala la uhuru wa kikatiba. Kwa hiyo uhuru wako wa kuchagua unachopenda, usiutumie kumchagulia mwenzako,. Maisha sio kama uniform za shule ya msingi, kwamba mfanane wote
Mkuu taratibu, tujifunze kuheshimiana. Yeye stivu Nyerere kutunukiwa udaktari wewe unapungua nini?? Mshahara wako unapungua??Kama Stivi Nyerere ni daktari basi hata mbwa wangu ni profesa emiritus kkkkk.
Katunukiwa na vyoo siyo vyuo. Ametunukiwa au amenunua toka kwenye degree mills kama akina Gwajima na Njaa Kaya?Mkuu taratibu, tujifunze kuheshimiana. Yeye stivu Nyerere kutunukiwa udaktari wewe unapungua nini?? Mshahara wako unapungua??
Pamoja na hayo Nyerere hakuwa limbukeni!Nyerere alikuwa anaelewa tofauti ya shahada za kupewa na shahada za kusomea.
Mtu yeyote mwenye kuheshimu taalama ataepuka kutumia titles [za kitaaluma] za kupewa.
🤓🧠View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Mkuu kuhusu impact inategemea na mtazamo wa mtu. Usitake kulazimisha mtazamo wako kwa watu wengine.Ati daktari stive nyerere hivi maduduna ya kiafrika yanaona fahari kuitwa daktari huku hayana imoact yoyote kidunia? Akina Elon hawataki hata udaktari wa heshima lakini mamvo wanayofanya ni makubwa.
Kama Mizania hapaswi kulazimisha mtazamo wake, kwanini wewe sasa unalazimisha mtazamo wako?Mkuu kuhusu impact inategemea na mtazamo wa mtu. Usitake kulazimisha mtazamo wako kwa watu wengine.
Kuna wasomi wengi hawana impact yoyote katika jamii ilhali kuna maamuma kibao wamefanya makubwa sana kwenye jamii.
Tuacheni dharau, walioleta hizo tuzo sio wajinga. Usisahau hizo tuzo ni halali kisheria. Stivu hajavunja sheria.
Kama anaitwa na machawa naye anakubali, yes, amewahi by implications and symbolically.Hivi Samia amewahi kujiita Dr?