Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo ni hisia zako, sina unasaba na stivu na wala hatufahamiani kabisaa ili kwa hili hujaonesha tofauti ya usomi wako na influence ya Stivu, wewe umeonyesha kijicho tu!Katunukiwa na vyoo siyo vyuo. Ametunukiwa au amenunua toka kwenye degree mills kama akina Gwajima na Njaa Kaya?
Soma uzi vizuri utaelewa. Kama influence ni big deal basi Nyerere angeitwa daktari. Anyways, hawa wenu ni madoktari.Mkuu hizo ni hisia zako, sina unasaba na stivu na wala hatufahamiani kabisaa ili kwa hili hujaonesha tofauti ya usomi wako na influence ya Stivu, wewe umeonyesha kijicho tu!
Mkuu Gwajima ana watu ambao wameguswa na umaamuma wake!! Toka hadharani utunonyeshe watu 500 tu walioguswa na usomi wako??
Mkuu pambana na hali yako, usiwapange wala kuwapangia watu!
Mwalimu hakuwa ni mtu wa kujikweza kweza na pia alikuwa anajiamini sana na aliletwa na Mungu kwa ajili ya kuwaongoza watu wake waliochaguliwa na Mungu 🙏View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
NChi za wenzetu ukisikia mtu ni PhD holder basi ujue ni elimu imelala kweli kweli sio kama huku kwenu mnakuta sijui Dr Samia sijui dkt nani halafu ukimfanyia assessment huyo Dr unaona kabisa hana cognitive reasoning, matokeo yake akikutana na situations zinazo unveil her or his low cognitive skills anaishia kuwa mbogo.View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
NChi za wenzetu ukisikia mtu ni PhD holder basi ujue ni elimu imelala kweli kweli sio kama huku kwenu mnakuta sijui Dr Samia sijui dkt nani halafu ukimfanyia assessment huyo Dr unaona kabisa hana cognitive reasoning, matokeo yake akikutana na situations zinazo unveil her or his low cognitive skills anaishia kuwa mbogo.
Na ww pia umekosa wazo la kuanzisha thread. Kwani ukiitwa Dr na usiitwe Dr itakuwa umepata au umekosa nn? Tujaribu kujadili au kuanzisha thread za maana zenye impact kwa issues za kitaifa. Mfano kikwete kuiba gesi mtwara.View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Stiv nimemtumia kama mfano tu. Weka wote walio pewa za burebure wamazo ita za heshimaMkuu kuhusu impact inategemea na mtazamo wa mtu. Usitake kulazimisha mtazamo wako kwa watu wengine.
Kuna wasomi wengi hawana impact yoyote katika jamii ilhali kuna maamuma kibao wamefanya makubwa sana kwenye jamii.
Tuacheni dharau, walioleta hizo tuzo sio wajinga. Usisahau hizo tuzo ni halali kisheria. Stivu hajavunja sheria.
Criteria for a person to be a scientist are?Is Elon a scientist per se? as was Abert Einstein?
Alijua ni ulimbukeni na misifa TU, Sasa Kila mtu anajiita dokta! Kaa darasani Iuone moto wake! Halafu yanachekelea sana!View attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Validation za watu kama Mwashambwa LucasNyerere ALIJITAMBUA na wengine HAWAJITAMBUI. Unyenyekevu wake ulimsaidia kutawala Ego na fake identity yake ndio maana alijitosheleza na kujiamini.
Imagine kiongozi mkuu wa nchi anawaza hadharani na kuropoka kuhusu jinsia yake au uanamke wake! Unafahamu ni kwanini? Ni kwamba Ego yake imemtawala, ameshindwa kutawala Ego sababu ya low self-esteem yake. Usipojitambua utakosa kujiamini na kujikuta unategemea validation za watu wa nje ku boost hisia binafsi.
Na Sukuma boyKatunukiwa na vyoo siyo vyuo. Ametunukiwa au amenunua toka kwenye degree mills kama akina Gwajima na Njaa Kaya?
Angekubali kuitwa Daktari, sasa hivi bongo imgeizidi Sauzi Afrika kimaendeleo, ila kitendo cha kukazania kujiita Mwalimu kasababisha nchi iwe kama majengo ya shule za msingi vijijiniView attachment 3146597
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili linamaanisha na kutufunza nini? Kwa wanaotaka kujua Mwalimu alikuwa na shahada ngapi ukiongezea na zile mbili alizosomea, BONYEZA HAPA TAFADHALI.
View attachment 3146595
Huu uongo wa wapi?Daktari = Mwalimu.