Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.

Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa mapombe daily hajui yanatoka wapi kwa maana nyingine anakula jasho la waumini wanyonge wanaoogopa kufa eti wasiposali hawazikwi.

Sema mwamposa hanywi pombe ndo mana katoliki imechanganyokiwa na nyomi Ile tena asipokuwa makini TEC itamuua kwa maslahi Yao. Maaskofu wanawanyonya waumini wao sana na kinywa mapombe kwenye nyumba zao na pombe lazima uwe na mwanamke tu.
 
Ataachwa kipingwa endapo tu ataenda Hosoitali za Muhimbili na Ocean road kuwaombea Wagonjwa na wakanyanyuka vitandani mwao

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kwani kanisa katoliki haliamini katika maombi? Sasa mnaenda kanisani kufanya Nini kama hamumuamini kama kama mungu ni superior
 
Injili ya dawa za kishirikina, mambo ya kufagia mchanga wa waumini walioingia nao kwenye viatu siku ya ibada ya nini? Kisha unaupeleka kwa fundi ili ibada ijayo warudi.

Spika zinapigwa uvumba mkali sana na mafusho makubwa makubwa.

Kanisa limezindikwa na waganga kuogopa wachawi na wapinzani wake kwenye biashara ya dini, kwa nini asilizindike kwa Mungu?

Dawa za kuvuta wateja (waumini), na kuoga dawa za mvuto kila siku ya ibada
 
Nime mfuatilia japo si kwa kilefu mtumishi huyu nilianza kumjua vizuri baada ya issue ya bandari nikagundua nimtu wa ukweli nimtu asiye mnafiki na Ana fikra za kima pinduzi kwenye siasa za dini

Dunia yeti hivi karibuni imekuwa dunia ambayo haipendi makubariano hasa yaliyo kinyume na Yale yafundishwayo

watu wengi hatutaki kufilkilia nje ya box tunapenda kufuata tunacho fundishwa na kufanya kinyume na hapo bongo zetu hutafsiri Kama kuku furu

Nimalizie kwa kusema tafsiri ya chuki za baadhi ya watu juu ya mwa mposa zipo kidini zaidi na kimapokeo zaidi juu ya wakosoaji wake

lait kama wapokeaji wake wangeitambua thamani ya Uhuru wa kufikiri

wangemchukulia mwamposa Kama mwalimu kwao

lakini kwasababu ni watu walio amua na kuamini katika kile walicho fundishwa kuamini nakuaminishwa kwamba hakuna sahihi zaidi ya kile walicho fundishwa

they can't agree kuhusu kile anacho kisima mia mwa mposa

Hapa tusubiri mda utaongea

Nanukuu

KAMA WANA RUHUSU USHOGA UNAO WEZA KUWAFANYA WASIINGIE MBINGUNI WANA WEZAJE KUZUIA UBINAFSISHAJI WA BANDARI USIO WEZA KUWA ZUIA WASIINGIE MBINGUNI?
 
Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.

Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa mapombe daily hajui yanatoka wapi kwa maana nyingine anakula jasho la waumini wanyonge wanaoogopa kufa eti wasiposali hawazikwi.

Sema mwamposa hanywi pombe ndo mana katoliki imechanganyokiwa na nyomi Ile tena asipokuwa makini TEC itamuua kwa maslahi Yao. Maaskofu wanawanyonya waumini wao sana na kinywa mapombe kwenye nyumba zao na pombe lazima uwe na mwanamke tu.
Mwamposa sio wa kwanza kuwa na nyomi nchi hii. Fuatilia enzi za Mzee Moses Kulola. Fuatilia enzi za Babu wa Loliondo! Ahahahahaha! Mzee wa Kikombe cha Jero. Hapo sijamtaja Askofu Dk. Gwajima na Mama Lwakatare! Waliishia wapi?
 
Ondoa neno kilamtu hukuona nyomi lawatu kanisani kwake usiku wa mwakampya nini
 
Unajua mafundisho ya kanisa wakatoliki? Ulishawasikia wakatoliki wakijinadi kuwataka waumini waende kanisani ili wapate miujiza? Umeshawasikia wanauza maji, mafuta na kila aina ya ghasia kama waganga wa kienyeji?
Basi siyo kanisa ni upagani ndani ya kanisa
 
2024 ni mwaka wa kujiliwa manabii fake.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom