bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mwamposa sip kanisa hana kanisa.
Yeye ana waumini toka dini zote,wanaoenda tuition kwake wakitokea dini zao
Yeye ana waumini toka dini zote,wanaoenda tuition kwake wakitokea dini zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya papa sio kauli ya wakatoliki.Nime mfuatilia japo si kwa kilefu mtumishi huyu nilianza kumjua vizuri baada ya issue ya bandari nikagundua nimtu wa ukweli nimtu asiye mnafiki na Ana fikra za kima pinduzi kwenye siasa za dini
Dunia yeti hivi karibuni imekuwa dunia ambayo haipendi makubariano hasa yaliyo kinyume na Yale yafundishwayo
watu wengi hatutaki kufilkilia nje ya box tunapenda kufuata tunacho fundishwa na kufanya kinyume na hapo bongo zetu hutafsiri Kama kuku furu
Nimalizie kwa kusema tafsiri ya chuki za baadhi ya watu juu ya mwa mposa zipo kidini zaidi na kimapokeo zaidi juu ya wakosoaji wake
lait kama wapokeaji wake wangeitambua thamani ya Uhuru wa kufikiri
wangemchukulia mwamposa Kama mwalimu kwao
lakini kwasababu ni watu walio amua na kuamini katika kile walicho fundishwa kuamini nakuaminishwa kwamba hakuna sahihi zaidi ya kile walicho fundishwa
they can't agree kuhusu kile anacho kisima mia mwa mposa
Hapa tusubiri mda utaongea
Nanukuu
KAMA WANA RUHUSU USHOGA UNAO WEZA KUWAFANYA WASIINGIE MBINGUNI WANA WEZAJE KUZUIA UBINAFSISHAJI WA BANDARI USIO WEZA KUWA ZUIA WASIINGIE MBINGUNI?
Mwamposa ni mshirikina kama washirikina wengine fuatilia utapata jibu.Ila kama haujui wewe unaona ni sawa tu, hiyo ni siri ya ndani kabsa utajua hiyo siri siku akiugua akashindwa kuendesha hiyo mikutano yake ndipo anaofanya nao kazi wataanza kuropoka.Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.
Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa mapombe daily hajui yanatoka wapi kwa maana nyingine anakula jasho la waumini wanyonge wanaoogopa kufa eti wasiposali hawazikwi.
Sema mwamposa hanywi pombe ndo mana katoliki imechanganyokiwa na nyomi Ile tena asipokuwa makini TEC itamuua kwa maslahi Yao. Maaskofu wanawanyonya waumini wao sana na kinywa mapombe kwenye nyumba zao na pombe lazima uwe na mwanamke tu.
Huwa najiuliza inakuwa Mungu anawaacha watumishi wake wamnenee tofautitofauti. Yaani anawaacha wazidi kutuchanganya, huyu na sabato, yule na sanamu, na mwingine na imani ya mapepo, michanga, mafuta nk. Kwa nini haya?Kwani kanisa katoliki haliamini katika maombi? Sasa mnaenda kanisani kufanya Nini kama hamumuamini kama kama mungu ni superior
Mungu yupo mkuu, ila Dini ndiyo utapeli.Ukisema ni kwasababu wakatoliki na mwamposa wanashindania wateja hutakua umekosea.
Na ukweli ni kwamba mwamposa ana njia nzuri zaidi ya kupata wateja.
Mwisho wa siku tunarudi palepale kwamba 'Mungu hayupo, dini ni utapeli.'
Hawawaombi mapadre wanamwomba Mungu lakini kwa Mwamposa lazima umwombe yeyeKwani kanisa katoliki haliamini katika maombi? Sasa mnaenda kanisani kufanya Nini kama hamumuamini kama kama mungu ni superior
Huko muhimbili na Ocean Road wapo wagonjwa kweli,Ataachwa kipingwa endapo tu ataenda Hosoitali za Muhimbili na Ocean road kuwaombea Wagonjwa na wakanyanyuka vitandani mwao
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kwani Ruwaichi yeye alishaenda huko kutenda hayo??Mwamposa lini ataenda mahospitalini kuwafanyia maajabu wagonjwa na kufufua maiti huko
Ova
Wote ni matapeli tuuHuko muhimbili na Ocean Road wapo wagonjwa kweli,
Akienda huko ataumbuka, pia wale wamama wanaochukuliwa kule tukuyu na uyole kuja kutoa ushuhuda feki watakosa ajira.
Lile jamaa ukiliangalia machoni halithubutu kukutazama directly, lina guilty mind, li hatia muda wote na ushirikina wake, ni jizi, na bichwa lake kubwa kama limevaa helmet
Mbona waganga wa kienyeji, hawaendi na hamuwapingi? Mambo ya kiroho yanataka ufike kilingeni, sio kilinge kikufwate. Ipo hivyo ndio mana Mungu aliagizwa zijengwe madhabahu kama kituo cha kushushia huduma za kiroho. Wachawi wanavilinge vyao pia na wakitaka kuroga au kutumia miujiza yao lazima wafike kilingeni. Kilinge=madhabahuAtaachwa kipingwa endapo tu ataenda Hosoitali za Muhimbili na Ocean road kuwaombea Wagonjwa na wakanyanyuka vitandani mwao
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Mi mwenyewe naamini mwamposa ni tapeli tu, we sikiliza kwa umakini watoa shuhuda utagundua kwamba wanapangwa tu. Halafu sikiliza mahubiri yake, hawezi kabisa kuhubiri. Muda mwingi anautumia kuongelea media zake, baada ya hapo masadaka kibao na maushuhuda ya uongo.Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.
Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa mapombe daily hajui yanatoka wapi kwa maana nyingine anakula jasho la waumini wanyonge wanaoogopa kufa eti wasiposali hawazikwi.
Sema mwamposa hanywi pombe ndo mana katoliki imechanganyokiwa na nyomi Ile tena asipokuwa makini TEC itamuua kwa maslahi Yao. Maaskofu wanawanyonya waumini wao sana na kinywa mapombe kwenye nyumba zao na pombe lazima uwe na mwanamke tu.
Ndiyo...Hivi kupondwa na Kilakala Mtu ndio MRI wenye matunda????????🤔🤔
Katoliki tuko vzr sahivi tumeruhusiwa kulana wanaume Kwa wanaume Kisha tunabarikiwaJana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango.
Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa mapombe daily hajui yanatoka wapi kwa maana nyingine anakula jasho la waumini wanyonge wanaoogopa kufa eti wasiposali hawazikwi.
Sema mwamposa hanywi pombe ndo mana katoliki imechanganyokiwa na nyomi Ile tena asipokuwa makini TEC itamuua kwa maslahi Yao. Maaskofu wanawanyonya waumini wao sana na kinywa mapombe kwenye nyumba zao na pombe lazima uwe na mwanamke tu.
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini kabisa kuwa maombi yanatibu malaria ?Kwani kanisa katoliki haliamini katika maombi? Sasa mnaenda kanisani kufanya Nini kama hamumuamini kama kama mungu ni superior
Umemsahau Kakobe mkuu!Mwamposa sio wa kwanza kuwa na nyomi nchi hii. Fuatilia enzi za Mzee Moses Kulola. Fuatilia enzi za Babu wa Loliondo! Ahahahahaha! Mzee wa Kikombe cha Jero. Hapo sijamtaja Askofu Dk. Gwajima na Mama Lwakatare! Waliishia wapi?