Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

Mwamposa sip kanisa hana kanisa.
Yeye ana waumini toka dini zote,wanaoenda tuition kwake wakitokea dini zao
 
Mwamposa anapondwa na kila mtu? Nitafutie mimi Depo ulikuta namponda wapi.!!
 
Kauli ya papa sio kauli ya wakatoliki.
Hata mwamposa hawabagui mashoga
 
Fransi kapania kuleta Order zote Uraiani...Andaeni mafuvu.
 
Mwamposa ni mshirikina kama washirikina wengine fuatilia utapata jibu.Ila kama haujui wewe unaona ni sawa tu, hiyo ni siri ya ndani kabsa utajua hiyo siri siku akiugua akashindwa kuendesha hiyo mikutano yake ndipo anaofanya nao kazi wataanza kuropoka.
 
Kwani kanisa katoliki haliamini katika maombi? Sasa mnaenda kanisani kufanya Nini kama hamumuamini kama kama mungu ni superior
Huwa najiuliza inakuwa Mungu anawaacha watumishi wake wamnenee tofautitofauti. Yaani anawaacha wazidi kutuchanganya, huyu na sabato, yule na sanamu, na mwingine na imani ya mapepo, michanga, mafuta nk. Kwa nini haya?
 
Hivi kupondwa na kila Mtu ndio mti wenye matunda????????🤔🤔
 
Ukisema ni kwasababu wakatoliki na mwamposa wanashindania wateja hutakua umekosea.

Na ukweli ni kwamba mwamposa ana njia nzuri zaidi ya kupata wateja.

Mwisho wa siku tunarudi palepale kwamba 'Mungu hayupo, dini ni utapeli.'
Mungu yupo mkuu, ila Dini ndiyo utapeli.
 
Ataachwa kipingwa endapo tu ataenda Hosoitali za Muhimbili na Ocean road kuwaombea Wagonjwa na wakanyanyuka vitandani mwao

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Huko muhimbili na Ocean Road wapo wagonjwa kweli,
Akienda huko ataumbuka, pia wale wamama wanaochukuliwa kule tukuyu na uyole kuja kutoa ushuhuda feki watakosa ajira.

Lile jamaa ukiliangalia machoni halithubutu kukutazama directly, lina guilty mind, li hatia muda wote na ushirikina wake, ni jizi, na bichwa lake kubwa kama limevaa helmet
 
Wote ni matapeli tuu
 
Ataachwa kipingwa endapo tu ataenda Hosoitali za Muhimbili na Ocean road kuwaombea Wagonjwa na wakanyanyuka vitandani mwao

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Mbona waganga wa kienyeji, hawaendi na hamuwapingi? Mambo ya kiroho yanataka ufike kilingeni, sio kilinge kikufwate. Ipo hivyo ndio mana Mungu aliagizwa zijengwe madhabahu kama kituo cha kushushia huduma za kiroho. Wachawi wanavilinge vyao pia na wakitaka kuroga au kutumia miujiza yao lazima wafike kilingeni. Kilinge=madhabahu
 
Kumjua Mungu ni kuijua KWELI iwekayo watu huru.
KWELI inapatikana popote, wasioijua watahangaika kwenye makanisa na mitume/manabii wa uongo na mwisho wao hukumu ya Mungu itawashukia.
Watu wa Mungu huangamia kwa kukosa maarifa.
 
Mi mwenyewe naamini mwamposa ni tapeli tu, we sikiliza kwa umakini watoa shuhuda utagundua kwamba wanapangwa tu. Halafu sikiliza mahubiri yake, hawezi kabisa kuhubiri. Muda mwingi anautumia kuongelea media zake, baada ya hapo masadaka kibao na maushuhuda ya uongo.
 
Katoliki tuko vzr sahivi tumeruhusiwa kulana wanaume Kwa wanaume Kisha tunabarikiwa
 
Kwani kanisa katoliki haliamini katika maombi? Sasa mnaenda kanisani kufanya Nini kama hamumuamini kama kama mungu ni superior
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini kabisa kuwa maombi yanatibu malaria ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…