Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
 
Atawapanga saa ngapi? Hivi kweli mnaamini yanayoendelea pale? Pale kuna wanaopangwa, wenye hisia, na wanaopona kwa kudra za mwenyezi Mungu.

Watu wote wasiotembea pale wana magongo, nataka waonyeshe mmoja kaja na wheel chair, akainuka na kutembea.

Wa Africa ni watu wa hovyo sana, sio kwamba Mungu haponyi, anaponya, ila hawa manabii ni waganga wa kienyeji watupu.

Wakina Mama sawa, nashangaa kweli mwanaume na Makende yale mawili anashabikia ule ujinga pale, ajabu ajabu sana
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Huko ni wagonjwa kweli kweli hawahongeki kusema urongo
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Watakuambia madakitari wakale wapi
 
Back
Top Bottom