Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
HakikaMtaji wa hawa matapeli wa kidini ni ujinga, upumbavu na hofu ya wafuasi wake, mwamposa ni tapeli full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaMtaji wa hawa matapeli wa kidini ni ujinga, upumbavu na hofu ya wafuasi wake, mwamposa ni tapeli full stop
Mimi mwenyewe ni Mkristo lakini vitu vingine lazima tuhoji.Muda wa kutaja namba za Airtel Money, Tigo Pesa etc ataupata wapi.. Bahasha je? Au atawapelekea?
Kule Hosp watu washavurugwa uende kuwapigia makelele hujitaki..?
Huku hawezi kwenda kwa vile ni tapeli!Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Maadamu hawavunji sheriaKwa imani hizi, no wonder Kibwetere aliua Wafuasi wake.
Leo hata Mwamposa akitaka kuwafanya kama alivyofanya Kibwetere, ataondoa wengi sana.
Wagonjwa wengi wanaoumwa sana huwa wapo tayari, na wanamuomba sana Mungu kwa imaniKama hawana Imani wataponaje sasa
Mpeni mualiko huko hospitalini atawafuata huko.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Nafikir haujawai kuumwa ww, ukiumwa kitu chochte kile utachoambiwa ni dawa utaamini tu,Kama hawana Imani wataponaje sasa
Unakosaje imani na huku una maumivu makali na ulishaambiwa siku chache zijazo utalichungulia kaburi.Kama hawana Imani wataponaje sasa