Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Haendi kwa sababu hawatapona na kisha hawana fedha za sadaka.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Huko ni wagonjwa kweli kweli hawahongeki kusema urongoHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Na huu msemo ndio unawamaliza kabisaKama hawana Imani wataponaje sasa
Mgonjwa ndie umfuata mgangaNa huu msemo ndio unawamaliza kabisa
Na wewe unaamini ilo?Kutakuwa na conflict of interest hospitali sio sehemu ya kupona TU pale Bali kuna biashara ya dawa inafanyika pale.
Unaweza pewa dawa ya kupoza Ili kesho uje tena na tena.
Kwa imani hizi, no wonder Kibwetere aliua Wafuasi wake.Mgonjwa ndie umfuata mganga
Watakuambia madakitari wakale wapiHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.