Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Sawa kaka nimekuelewa
 
Ila ukumbuke kunawatu wamepona kupitia mwamposa,ila kwakua sisi hayajatugusa TUNAROPOKA TU

Siku yakikukuta utakuja kutoa ushuhuda,

Nimeshuhudia watu zaidi ya wanne Mmoja ni mama angu,kama huna interaction na mambo ya mitaani huwez jua

Ukikaa vijiwe vyako ni jf,insta,tik talk unahisi unaifahamu sana dunia
 
Unataka aumbuke?
 
Na wajinga kila siku wanazaliwa hao ndio mtaji wa makanisani ya upigaji, wanauziwa kila kitu
 
Umesahau kuwa Mwamposa ni mganga wa kienyeji?!

Akina mama wanalubuniwa kwa ufinyu wa akili wanampelekea shida zao Mwamposa bila kujua kuwa wanaenda kupigwa na kitu kizito.

"Wajinga ndio waliwao".
 
Wagonjwa hawana pesa, pesa waliyonayo ni yakulipia matibabu. Mwamposya pamoja sala zake ziko on sale to the highest bidder. Sala za Mwamposya zinauzwa. Neno la Mungu atowale Mwamposya linauzwa. Nothing is given in the name of God but in the name of MONEY....mooni. Unajuwa Mwamposya ana matumizi makubwa kweli, kwa hiyo lazima aingize pesa. Miujiza yoote lazima walipe watu ili wakubali kutengeneza sinema la kuigiza kupona kwa miujiza. Wakishapona kwa kuigiza lazima atumie pesa kutunza siri hiyo...all that is money! Alafu wewe sijui unataka aende Muhimbili aponyeshe kwa huruma! Kwanza huo uwezo wa kuponya hana, alafu aende Muhimbili kujivua nguo! Haendi kamwe!
 
Mungu hakutembelei usipomuhitaji. Wale hawamuhitaji Mtumishi ndo mana wapo hospital
 
Mbona huongelei ambao hawaponi... Mimi nikisalia mbwa nipone kichwa na nikapona utasema mbwa anaponya...mbona wabongo kufikiria ni zero
 
thubutu yakeee.. akienda o.road kuwaombea wagonjwa ili wasimame watembee natembea uchi kutoka chalinze mpaka dar.. hao wa kanisani kwake kishawapanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…