Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
The Pastor who is shouting divine healing will go to the hospital when he becomes sick...
Dini na makanisa ni utapeli.
Dini na makanisa ni utapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iman ni geresha ya kupga pesaKama hawana Imani wataponaje sasa
Hayo ni mapungufu ya mtu na sio maana ya ImaniIman ni geresha ya kupga pesa
Sawa kaka nimekuelewa😂😂Simple...ni made up story...mathayo anataja generation 41 kutoka kwa daudi mpaka Joseph...ambapo hapo Kati Kuna watu tofauti na waliotajwa na Luka ambao ni generation 26... na zote ni David to Joseph tofauti mmoja ni from Solomon zingine ni from Nathan...Kuna watu wameforce sijui uzao wa Luke ni wa maria buh bible haisemi hivyo hata kidogo...so swali lako majibu yake ni
1. Story nzima imetungwa, bikra hawezi zaa...na hizo uzao ni formulated ili kutumizi maandiko...
2. Ukitaka kuamini one narrative unabidi ukubali the other is wrong hence bible Ina makosa
Unataka aumbuke?Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Wanatokea hii mikoa 7 katika ya 10 yenye makanisa mengi kuliko misikiti..Kweli wengi ni waislamu, ukibisha kaangalia wanatoka wapi
Na wajinga kila siku wanazaliwa hao ndio mtaji wa makanisani ya upigaji, wanauziwa kila kituHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Iman kajura au?Hayo ni mapungufu ya mtu na sio maana ya Imani
Wagonjwa hawana pesa, pesa waliyonayo ni yakulipia matibabu. Mwamposya pamoja sala zake ziko on sale to the highest bidder. Sala za Mwamposya zinauzwa. Neno la Mungu atowale Mwamposya linauzwa. Nothing is given in the name of God but in the name of MONEY....mooni. Unajuwa Mwamposya ana matumizi makubwa kweli, kwa hiyo lazima aingize pesa. Miujiza yoote lazima walipe watu ili wakubali kutengeneza sinema la kuigiza kupona kwa miujiza. Wakishapona kwa kuigiza lazima atumie pesa kutunza siri hiyo...all that is money! Alafu wewe sijui unataka aende Muhimbili aponyeshe kwa huruma! Kwanza huo uwezo wa kuponya hana, alafu aende Muhimbili kujivua nguo! Haendi kamwe!Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Mungu hakutembelei usipomuhitaji. Wale hawamuhitaji Mtumishi ndo mana wapo hospitalHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Dini hazitambui umoja maana kila mmoja anavytia kwake.Mungu si all powerful lakini
SawaA
Akili hazifanani
Mbona huongelei ambao hawaponi... Mimi nikisalia mbwa nipone kichwa na nikapona utasema mbwa anaponya...mbona wabongo kufikiria ni zeroIla ukumbuke kunawatu wamepona kupitia mwamposa,ila kwakua sisi hayajatugusa TUNAROPOKA TU
Siku yakikukuta utakuja kutoa ushuhuda,
Nimeshuhudia watu zaidi ya wanne Mmoja ni mama angu,kama huna interaction na mambo ya mitaani huwez jua
Ukikaa vijiwe vyako ni jf,insta,tik talk unahisi unaifahamu sana dunia
Haya mteteziDini hazitambui umoja maana kila mmoja anavytia kwake.
So,apeleke mahubiri yake kule ukaone kitakachomtokea.
Serikali pia haina dini