Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

🤣🤣🤣Huyo Josephus wakristo mnampenda kichizi
 
🤣Asa unatoa reference kwenye kitabu Kilichoandikwa kwa hisia...kitabu kinasema punda anaongea, nyota zinaanguka, sijui malaika kugongana na wanawake
 
Anayeponya ni Mungu sio Mwamposa. Na miujiza sio maonyesho ya mazingaombwe kwamba unataka tu uone ufurahishe macho yako. Kila jambo hutendeka kwa kusudi la Mungu.
Loooooo, we have the right to disagree, mimi ninaabudu mizimu yangu ,hizi imani nilizoletewa kwa merikebu it's a NO kwangu,mwamposa ni tapeli mkubwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Josephus wakristo mnampenda kichizi

We si umesema hakuna historia ya kufufuka kwa Yesu? Kwamba hujafundishwa form four kitu kama hiko [emoji28][emoji28] ni aibu mtu mzima kujadili hoja kama mtoto
 
Kwani Bwana Yesu alikuwa akienda hospitali kuponya au watu walimpelekea wagonjwa ktk makutano yake, na huko hospitali wanaruhusu wahubiri kwenda kuponya watu!
 
Loooooo, we have the right to disagree, mimi ninaabudu mizimu yangu ,hizi imani nilizoletewa kwa merikebu it's a NO kwangu,mwamposa ni tapeli mkubwa

Hata formal education kwa asilimia kubwa imeletwa na merikebu lakini bado tunaamini katika elimu hiyo. Sasa kama umeamua ku-adopt mifumo mingine kutoka nje ukakataa ku-adopt faith wewe ni wa ajabu tu. Stick to your old ways kama kweli wewe ni mzalendo wa tamaduni.
 
Mzungu akiniambia nikichemsha maji yanaevaporate coz of science na nikatest na nikaona Sina budi kuamini elimu yake lakini akiniambia miaka 2000 iliyopita mtu aliyetokea kwa Bikra alikufa na kufufuka kwa sababu watu zamani wakiwa uchi walipewa tunda na nyoka anayeongea..Nina uwezo wa kukataa...
 
Yes mkuu nipo proud na uafrika wangu kwa imani zake, hii formal education nimeletewa na Sina imani nayo kabisa,ninaamini kwenye mivule kuliko huko kwingineko,huyu ndiye Enkanini
 

Sasa faith goes beyond science. Hata wanasayansi mashughuli kama Albert Einstein wanaeleza hilo. Science ina ukomo. Kama ina ukomo that means haiwezi kutatua kila jambo. Faith goes beyond limits. Ukitegemea kuona kila kitu kwa macho ndo uamini basi upeo wako wa kufikiri haujapevuka. Ajabu sana hamuoni upepo, lakini unaamini kuna upepo. No body see the gravitational force ila you still believe in force of gravity[emoji28] By the way unaji-contradict sana. Unaamini katika mizimu and yet your science can’t prove their existence. Tukuweke kundi lipi sheikh?
 
Mkuu kuhusu Mwamposa kwenda hospitalini hata Bwana Yesu hakuwafuata wagonjwa isipokuwa wagonjwa ndio walio mfuata, na wale waliokuwa hawawezi kabisa walibebwa na ndugu zao kwenda kwa Yesu . ikumbukwe kuwa Tiba ya maombi ni Imani kwanza kisha unachukua hatua ili kuyaendea hayo maombi kama kawaida Hospitali haimfuati mgonjwa ila mgonjwa ndie hufanya hivyo
 
Tunarudi pale pale sauti yenyewe haionekani ila ipo na hatubishi...una 5 sensory organs, sio macho tu... mi sijasema sehemu yoyote kuwa naamini mizimu
 
Usitusomee novel na hekaya Kama mifano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…