bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Data hazifichikiCoz rais wako alificha data na ukweli kuhusu athari zake.. ni strategy nzuri ya kutumia dini coz ndo upumbavu wa wabongo ulipo so nae akapita mulemule...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Data hazifichikiCoz rais wako alificha data na ukweli kuhusu athari zake.. ni strategy nzuri ya kutumia dini coz ndo upumbavu wa wabongo ulipo so nae akapita mulemule...
Why Mungu asikutokee wewe akakupa maono... mbona Mungu anamtegemea binadamu ili asambaze ujumbe na sisi wote tumuamini tu huyo binadama kiholelaholela
Na maandiko yanasema " Mungu ni muweza yote" inakuaje awe na limits tena?Hapo kwenye sio magonjwa yote yanatibika kwa maombi? So Mungu wake ana limits
Hakuna aliyefufuliwa na yesu hata mmoja kwanini yeye hakujifufua inamaana hakutaka yeye kuishi?Mwisho mtasema kwanini YESU alifufua baadhi asifufue wote?
hospitali wanaamini katika Tiba ya kisayansi mkuu na wala hairuhusiwi mtu kwenda kutoa tiba ya mombi walatiba asili. kama unaumwa nenda Kawe akakuombee utapona. Hata Yesu mwenyewe hakuwahi kwenda Hospital hata aliposikia rafiki yake Mkubwa Lazaro anaumwa hakutaka kwenda kumwangalia walakumuombea hadialipokufa.
Kama unahitaji Kuombewa au una ndugu yako mgonjwa basi mpeleke akafanyiwe maombi kisha uje na mrejesho
Mwisho sio magonjwa yote yanatibika kwa maombi.
Mabii wote wa uongo walitokea duniani kwani yeye yesu alitokea wapi kama siyo duniani?Mungu hujidhihirisha kwa watu kupitia karama mbalimbali. Sio unabii tu. kuna uimbaji, uhubiri, ualimu kwa kutaja vichache. Katika hili, Biblia inasema.
“Basi kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni mmoja. Pia kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni mmoja. Kisha kuna aina tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule anayeongoza kazi zote kwa kila mtu. Roho Mtakatifu hudhi hirishwa kwa kila mtu kwa faida ya wote.” 1 WAKORINTHO 12: 4-7
Mungu hamtegemei Mwanadamu kusambaza ujumbe wake maana anaweza kuagiza Malaika zake wakafanya kazi hiyo. Lakini Mungu anampa nafasi Mwanadamu ili tuonyane sisi kwa sisi na kufundishana hata katika udhaifu wetu kwasababu maisha ya duniani yaliandaliwa kwaajili ya Mwanadamu na Mungu ajidhihirishe katikati yao wenyewe.
“Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.” WAKOLOSAI 3:16-17
Hatupaswi kuamini kila roho kiholela. Biblia inasema;
“ Wapenzi msiamini kila roho bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.” 1 YOHANA 4:1-2
Mwamposa hana lolote ni tapeli tu kama matapeli wengine tuwajuao mjini plus na ujinga wa waumini.Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Hakuna aliyefufuliwa na yesu hata mmoja kwanini yeye hakujifufua inamaana hakutaka yeye kuishi?
Unatambua kuwa ktk hospitali kubwa zenye vyuo vya tiba vina vitengo vya utafiti ktk tiba asilia?Ugonjwa gani hautibiki kwa maombi?
Hebu toa reference za hekaya zote afu ndo uongee na MimiMungu hujidhihirisha kwa watu kupitia karama mbalimbali. Sio unabii tu. kuna uimbaji, uhubiri, ualimu kwa kutaja vichache. Katika hili, Biblia inasema.
“Basi kuna aina mbalimbali za karama, lakini Roho ni mmoja. Pia kuna huduma za aina mbalimbali, lakini Bwana ni mmoja. Kisha kuna aina tofauti za kutenda kazi, lakini ni Mungu yule yule anayeongoza kazi zote kwa kila mtu. Roho Mtakatifu hudhi hirishwa kwa kila mtu kwa faida ya wote.” 1 WAKORINTHO 12: 4-7
Mungu hamtegemei Mwanadamu kusambaza ujumbe wake maana anaweza kuagiza Malaika zake wakafanya kazi hiyo. Lakini Mungu anampa nafasi Mwanadamu ili tuonyane sisi kwa sisi na kufundishana hata katika udhaifu wetu kwasababu maisha ya duniani yaliandaliwa kwaajili ya Mwanadamu na Mungu ajidhihirishe katikati yao wenyewe.
“Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.” WAKOLOSAI 3:16-17
Hatupaswi kuamini kila roho kiholela. Biblia inasema;
“ Wapenzi msiamini kila roho bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwasababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani.” 1 YOHANA 4:1-2
EtiNa maandiko yanasema " Mungu ni muweza yote" inakuaje awe na limits tena?
Maandiko? Historia? We umesoma historia mpaka form 4 ushawahi fundishwa mtu kufufuka Palestine katika century ya 1Lazaro alifufuliwa na Yesu (Soma YOHANA 11) Yesu alipokufa, siku ya tatu alifufuka na alikaa tena Duniani kwa siku 40 kabla ya kupaa. Hujui maandiko wala historia unakuja kwenye mjadala kubwabwaja?!
Mwamposa hana lolote ni tapeli tu kama matapeli wengine tuwajuao mjini plus na ujinga wa waumini.
Una kichwa kizito sana,, mgonjwa yupo ICU au wodi ya kawaida na ameshatumia dawa za kila aina but hakuna unafuu anaoupata, ataendelea kuwa na imani na hizo dawa??Yesu Anaweza yote Kwa wanaomwamini halazimishi mtu
Aliye hospitali anaamini dawa zaidi haiwezekani umfuate hospital mtu ana Imani kwenye dawa
Kote duniani Kuna uponyaji aina mbili wa Hospital na spiritual Healing .Mtu mwenyewe huamua aende wapi Huwa hawaingiliani
Maandiko? Historia? We umesoma historia mpaka form 4 ushawahi fundishwa mtu kufufuka Palestine katika century ya 1
Hebu toa reference za hekaya zote afu ndo uongee na Mimi
Maswali ya Kisayansi unataka yajibiwe ki Dini ?Hujajibu maswali niliyoweka haya good day
Aende Muhimbili hospital akawaponye ndugu zetu pale kama kweli ni nabii, mwamposa ni tapeli mkubwaHata ukitukana matusi yote unayoyajua,huwezi kuubadili ukweli uliopo,kuna watu wanapona shida zao kwa Mwamposya,tena shida zilizowasumbua kwa miaka mingi,wakati nyinyi wenye kiburi cha uzima mnaendelea kupikiana majungu,waacheni wenye shida zao waendelee,kufunguliwa.
Aende Muhimbili hospital akawaponye ndugu zetu pale kama kweli ni nabii, mwamposa ni tapeli mkubwa
Sawa kabisa. Ila mimi daima naamini ni tapeli mkubwa na wanaomuamini wako brainwashed.Wakati wewe unamuona tapeli, kuna watu wanapokea miujiza na baraka za Mungu kupitia yeye. Watu wanapona, wanapata kazi, wanafunguliwa kiuchumi etc! Kutoamini kwako haitokufanya uonekane mjanja au mwerevu kuliko wengine maana njia zako hazina manufaa kwa yoyote.