Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 349
- 805
[emoji1787]Hamna tuongee ukweli...mi mpaka namjua ujue hizo argument nimeziskia na ye mwenyewe hakusema kufufuka alisema he existed na aliuwawa bac
Usitusomee novel na hekaya Kama mifano
Kwahiyo maji na mafuta anayo toa sio dawaKutakuwa na conflict of interest hospitali sio sehemu ya kupona TU pale Bali kuna biashara ya dawa inafanyika pale.
Unaweza pewa dawa ya kupoza Ili kesho uje tena na tena.
Nitumie hio part ya JosephusManuscript ipi umesoma? Au ndo umekumbilia Wikipedia [emoji28][emoji28]
Historical facts and records that are backed up with verifiable evidenceWewe source yako ni ipi?[emoji28] una kazi ya kudiscredit source za wenzako tu. Wewe maarifa yako unayatoa wapi?
Historical facts and records that are backed up with verifiable evidence
Asante wamlaumu Mungu MwenyeziAnayeponya ni Mungu sio Mwamposa. Na miujiza sio maonyesho ya mazingaombwe kwamba unataka tu uone ufurahishe macho yako. Kila jambo hutendeka kwa kusudi la Mungu.
Kwa utapeli upi?Sawa kabisa. Ila mimi daima naamini ni tapeli mkubwa na wanaomuamini wako brainwashed.
Nawasaidia nyie kuwaambia mnatapeliwa kwa kutojitambua kwenu.Wewe uliyejitambua umefanya jambo gani kusaidia wahitaji kwenye jamii?
Kwa hiyo mwamposa yeye huwa haendi hospitali?Kwann hao wagonjwa wasiende kwa mwamposa kuponywa hadi wafatwe hospitalini.
Nawasaidia nyie kuwaambia mnatapeliwa kwa kutojitambua kwenu.
Jana mlipata maokoto ngapi pale Kawe kwa wazembe?Ukijitambua wewe inatosha kabisa.
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
Kwann asiende, hospital ni mpango wa Mungu utaalamu wa tiba Mungu ndie kawapaKwa hiyo mwamposa yeye huwa haendi hospitali?
Hospitalini hakuna Madhabahu ya damu ya Yesu. Anaweza akaponyesha hata huko hospitalini pia isipokuwa uhakika zaidi ni pale anapokuwa yupo kwenye Madhabahu ya damu ya YesuHili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.
Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?
Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
ila watanzania mna wivu kwahyo mtu asipige hela imekua nongwa tafuten na nyinyi kwa kupigia hawa wajinga wetu sote [emoji3][emoji23]Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.