Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

[emoji1787]Hamna tuongee ukweli...mi mpaka namjua ujue hizo argument nimeziskia na ye mwenyewe hakusema kufufuka alisema he existed na aliuwawa bac

Manuscript ipi umesoma? Au ndo umekumbilia Wikipedia [emoji28][emoji28]
 
Historical facts and records that are backed up with verifiable evidence

Drop them here sasa. Unabwabwaja na hakuna evidence hata moja umeweka[emoji28] kujua kiingereza hakukufanyi uonekane intelligent than all of us here. Leta source zako and prove it that Jesus the Son of God doesn’t perform miracles through his believers. Nimekaa pale nasubiri
 
Anayeponya ni Mungu sio Mwamposa. Na miujiza sio maonyesho ya mazingaombwe kwamba unataka tu uone ufurahishe macho yako. Kila jambo hutendeka kwa kusudi la Mungu.
Asante wamlaumu Mungu Mwenyezi
Nabii Mwamposa hajawahi na hatawahi kumponya mtu.
Na hawezi..
Mungu humponya anaye mtaka yeye mwenyewe.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.

Hawana hela ya kumpa
 
Hospitalini hakuna Madhabahu ya damu ya Yesu. Anaweza akaponyesha hata huko hospitalini pia isipokuwa uhakika zaidi ni pale anapokuwa yupo kwenye Madhabahu ya damu ya Yesu
 
Mwamposa haponyi mtu.
Yesu ndiye anayeponya na kufufua wafu.

Wengi aliowaponya Yesu walimwendea alipo na kuomba waponywe.

Yesu hakuwahi kwenda Hospitalini na kuponya watu.
Na hata sasa ndivyo ilivyo.

Nendeni kwa Yesu mpate kuponywa Magonjwa yenu.

Hospitalini pia watu wanaponya Magonjwa yao. Hasal wasiomwamini Kristo.

MWAMPOSA HANA UWEZO WA KUPONYA WATU.
ANAYEPONYA NI YASU KRISTO MWANA WA MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI.
MKIMBILIENI KRISTO MPONYWE MAGONJWA YENU KAMA MNAMWAMINI.

Nimewambia kwa herufi kubwa ili mpate kuelewa.
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli.

Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa?

Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja wachache huku wajinga wakiwawatajirisha wenzao.
ila watanzania mna wivu kwahyo mtu asipige hela imekua nongwa tafuten na nyinyi kwa kupigia hawa wajinga wetu sote [emoji3][emoji23]
 
Back
Top Bottom