Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
 
Huyu maza mpaka muje mumuelewe mtakuwa too late huyu mama Yuko tayari kuua wote akae ikulu nacho shauri WABONGO tutulie hii Ngoma ilisha haribika mapema sana kilichopo ni kusubiri muda wa mungu ufike jpm alilindwa sna ila aliondoka hata huyu atatoka TU atake asitake wakati wa mungu ni sahihi
 
Back
Top Bottom