Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga?

Tafadhali King Kong III ukiwawakilisha Wajeda (Wanajeshi) Wenzako nakiomba uweke Neno lako hapa.
 
Ulitaka aombe msaada kwa raia wakati wanajua kinachofuatia? The birds of a same feathers flock together mwanangu. Na ndugu wa mwanajeshi ni mwanajeshi
Hatakiwi kuomba msaada..yani raia mmoja tu anakushinda mpaka ukawautwa mbraza ako kikosini?

Inamaana kumbe wajeshi ni wachumba tu, watu wanaogopa uniform tu
 
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani / Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe ( Mwanajeshi ) kuchezea Kichapo ( Kipigo ) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga?

Tafadhali King Kong III ukiwawakilisha Wajeda ( Wanajeshi ) Wenzako nakiomba uweke Neno lako hapa.
Usikalili wengine wanapiga karete.Nina ndugu yangu alikuwa mchovu nowdays unapigika vibaya.Wanamafunzo nowdays usiwachezee
 
Kumpiga mwanajeshi tena akiwa kwenye gwanda ni dharau kwa jeshi na nchi, mtu atakayefanya hivyo lazima aadhibiwe kikamilifu ndo hapo kikosi kizima kinashuka
Ila Yeye kupiga Raia akiwa katika Sare zake ni sehemu ya Ushujaa na yamo katika Maelekezo yao ya Kazi / Utendaji?

Huna Akili.
 
Usikalili wengine wanapiga karete.Nina ndugu yangu alikuwa mchovu nowdays unapigika vibaya.Wanamafunzo nowdays usiwachezee
Sasa kama Wajeda ( Wanajeshi ) wa Siku hizi wanajua Martial Arts ( Karate, Kung Fu na Judo ) Mimi kuna Mmoja wao nilimpiga Ndonga ( Kichwa ) cha maana na akakimbia na sasa ni Marafiki?
 
Kauli mbiu ya jeshi ni "UMOJA" ndio maana ukimpiga anaenda kuwambia wenzake wanakuja Kwa UMOJA wao kukupa ile kitu roho inapenda
Na mkistaafu pia huwa mnakuwa na Umoja wa Kusaidiana pale Maisha yenu yakiwa ni Magumu na Wengi wenu mnaishi kwa Kuomba Omba na kutia Huruma kama Ngedere walionyimwa Ndizi na Watalii barabarani?
 
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani / Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe ( Mwanajeshi ) kuchezea Kichapo ( Kipigo ) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga?

Tafadhali King Kong III ukiwawakilisha Wajeda ( Wanajeshi ) Wenzako nakiomba uweke Neno lako hapa.

Hahahaa nadhani ni kuweka heshima tu maana mjeda kupigwa na raia ni aibu so itatafutwa means ya kuwachezesha ngondoigwa raia kwa kuleta Kikosi kazi..... 😀 😀 😀 😀 .
 
Back
Top Bottom