Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

Wale special forces usije ukajaribu. Hata kama alikuwa mchovu ila akishapita kwenye yale mafunzo huwa wanakuwa hatari. Sema special forces huwa wastaarabu... tatizo lao kwenye mademu tu. Wanakuwaga dhaifu.
 
Sasa kama Wajeda ( Wanajeshi ) wa Siku hizi wanajua Martial Arts ( Karate, Kung Fu na Judo ) Mimi kuna Mmoja wao nilimpiga Ndonga ( Kichwa ) cha maana na akakimbia na sasa ni Marafiki?
Ngoja usahasahau uone kifuatacho
 
Ulitaka aombe msaada kwa raia wakati wanajua kinachofuatia? The birds of a same feathers flock together mwanangu. Na ndugu wa mwanajeshi ni mwanajeshi
Kama kapigwa na anaona kaonewa,si aende tu police akafunguwe malalamiko ya kupigwa na huyo raia ili Sheria ichukuwe mkondo wake!? Sasa mnavyovyamia mtaa na kupiga hadi watu wasiokua na hatia wala ugonvi wenu uliko aanzia hawajui,huo ndiyo ustarabu gani Sasa!!??
 
Siyo kwenye mapenzi tu,hata barabarani mkipigana pasi tu na ka alteza kake lazima aite kambi nzima badala ya kuwaita traffic wenye kazi zao za ma ajali barabarani, lakini Mara nyingi wanaofanya ujinga huo ni hawa Makuruta!!
Uko sahihi 100% ya Commissioned Officers wako well disciplined and very Ethical ila wenye Matatizo, Upumbavu na Ushamba ni hawa Kuruta ambao Wengi wao hata Elimu walizonazo ni Ndogo mno.
 
Kama kapigwa na anaona kaonewa,si aende tu police akafunguwe malalamiko ya kupigwa na huyo raia ili Sheria ichukuwe mkondo wake!? Sasa mnavyovyamia mtaa na kupiga hadi watu wasiokua na hatia wala ugonvi wenu uliko aanzia hawajui,huo ndiyo ustarabu gani Sasa!!??
Mkuu samahani umeshawahi kupewa Mkong'oto na Mwanajeshi / Wanajeshi?

Wasamehe.
 
wanaopigwa ni wanajeshi wasiokuwa na cheo hata cha MP wala V.
jeshi sio bandari kama uliyouzwa na mama wa kambo kwa maneno ya matamu ya msaamu
 
Back
Top Bottom