Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

Uko sahihi 100% ya Commissioned Officers wako well disciplined and very Ethical ila wenye Matatizo, Upumbavu na Ushamba ni hawa Kuruta ambao Wengi wao hata Elimu walizonazo ni Ndogo mno.
Kama unalitambua hilo tulia...
We Jichanganye kwa mtu asie soma uwone shughuli.
 
Wakija jitee hivi, kumbukeni kiapo chenu, nilimpiga akiwa hana uniform hivyo nimempiga Juma ndondocha sijaanzisha vita na Jamhuri ya muungano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama Wajeda ( Wanajeshi ) wa Siku hizi wanajua Martial Arts ( Karate, Kung Fu na Judo ) Mimi kuna Mmoja wao nilimpiga Ndonga ( Kichwa ) cha maana na akakimbia na sasa ni Marafiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Kupigwa na kukimbilia kuita wenzake[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi huwa waoni aibu kabisa?
Kwanza anaanzajee kusemelea kwa wenzie, kuwa kapigwaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumpiga mwanajeshi tena akiwa kwenye gwanda ni dharau kwa jeshi na nchi, mtu atakayefanya hivyo lazima aadhibiwe kikamilifu ndo hapo kikosi kizima kinashuka
Na hapo ndo wanapozidi kujiaibisha sasa🤣🤣🤣
 
Hata uraiani, makwazano ya mtu na mtu, wataita team zao zije kufanya mashambulizi...

Binadamu ndivyo tulivyo...
 
Wengi ni rojorojo tu, lazima atafute kampani. Ndio maana wakija mtaani wanapiga yeyote
 
Back
Top Bottom