GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hatakiwi kuomba msaada..yani raia mmoja tu anakushinda mpaka ukawautwa mbraza ako kikosini?Ulitaka aombe msaada kwa raia wakati wanajua kinachofuatia? The birds of a same feathers flock together mwanangu. Na ndugu wa mwanajeshi ni mwanajeshi
Usikalili wengine wanapiga karete.Nina ndugu yangu alikuwa mchovu nowdays unapigika vibaya.Wanamafunzo nowdays usiwachezeeInakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani / Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe ( Mwanajeshi ) kuchezea Kichapo ( Kipigo ) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga?
Tafadhali King Kong III ukiwawakilisha Wajeda ( Wanajeshi ) Wenzako nakiomba uweke Neno lako hapa.
Ila Yeye kupiga Raia akiwa katika Sare zake ni sehemu ya Ushujaa na yamo katika Maelekezo yao ya Kazi / Utendaji?Kumpiga mwanajeshi tena akiwa kwenye gwanda ni dharau kwa jeshi na nchi, mtu atakayefanya hivyo lazima aadhibiwe kikamilifu ndo hapo kikosi kizima kinashuka
Sawa Afande Lofa...!Ulitaka aombe msaada kwa raia wakati wanajua kinachofuatia? The birds of a same feathers flock together mwanangu. Na ndugu wa mwanajeshi ni mwanajeshi
Sasa kama Wajeda ( Wanajeshi ) wa Siku hizi wanajua Martial Arts ( Karate, Kung Fu na Judo ) Mimi kuna Mmoja wao nilimpiga Ndonga ( Kichwa ) cha maana na akakimbia na sasa ni Marafiki?Usikalili wengine wanapiga karete.Nina ndugu yangu alikuwa mchovu nowdays unapigika vibaya.Wanamafunzo nowdays usiwachezee
Angalia wale wa special force.Jaribu ukate moto.Wengine maluten Usu jaribu utaiona vyemaSasa kama Wajeda ( Wanajeshi ) wa Siku hizi wanajua Martial Arts ( Karate, Kung Fu na Judo ) Mimi kuna Mmoja wao nilimpiga Ndonga ( Kichwa ) cha maana na akakimbia na sasa ni Marafiki?
Na mkistaafu pia huwa mnakuwa na Umoja wa Kusaidiana pale Maisha yenu yakiwa ni Magumu na Wengi wenu mnaishi kwa Kuomba Omba na kutia Huruma kama Ngedere walionyimwa Ndizi na Watalii barabarani?Kauli mbiu ya jeshi ni "UMOJA" ndio maana ukimpiga anaenda kuwambia wenzake wanakuja Kwa UMOJA wao kukupa ile kitu roho inapenda
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani / Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe ( Mwanajeshi ) kuchezea Kichapo ( Kipigo ) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga?
Tafadhali King Kong III ukiwawakilisha Wajeda ( Wanajeshi ) Wenzako nakiomba uweke Neno lako hapa.
Hakuna anayepaswa kumpiga mwenzie awe mwanajeshi au raia bali kuheshimiana. Kweli kuna watu wana akili mbovuIla Yeye kupiga Raia akiwa katika Sare zake ni sehemu ya Ushujaa na yamo katika Maelekezo yao ya Kazi / Utendaji?
Huna Akili.