Thanks kwa elimu.To propose.... kupiga magoti sio utaratibu wa kiafrika, na kupropose kwa kumvalisha pete ya uchumba sio utamaduni original wa kiafrika. Kwa makabila mengi utaratibu ilikuwa unawatuma wazee/washenga, then binti anaitwa na kuulizwa kama anakufahamu na anakukubali, akisema ndiyo basi inapangwa siku ya MAHARI, na mkishalipa mahari tu basi binti anakuwa officially mkeo. Ndo maana kwa makabila mengi, after send off upande wa
Hili kwangu mie litakuwa gumu 😅To propose.... kupiga magoti sio utaratibu wa kiafrika, na kupropose kwa kumvalisha pete ya uchumba sio utamaduni original wa kiafrika. Kwa makabila mengi utaratibu ilikuwa unawatuma wazee/washenga, then binti anaitwa na kuulizwa kama anakufahamu na anakukubali, akisema ndiyo basi inapangwa siku ya MAHARI, na mkishalipa mahari tu basi binti anakuwa officially mkeo. Ndo maana kwa makabila mengi, after send off upande wa
Huu huwa ni Uzombie, na hufanywa na Mazombie 😂😂Wakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu.
Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani.
Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,?
Msaada kwa wajuzi wa haya mambo ,, kuna binti wa mtu kanikalia kooni kuhitaji nimvishe pete ya uchumba nisije umbuka [emoji4]
MEK_TZ
Na mazombi wengi ni wale wanaotafuta kiki kwenye mitandao.Huu huwa ni Uzombie,na hufanywa na Mazombie [emoji23][emoji23]
Si utamaduni wetu huu waafrika.
Wakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu.
Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani.
Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,?
Msaada kwa wajuzi wa haya mambo ,, kuna binti wa mtu kanikalia kooni kuhitaji nimvishe pete ya uchumba nisije umbuka [emoji4]
MEK_TZ
Sawasawa Zombie.Na mazombi wengi ni wale wanaotafuta kiki kwenye mitandao.
Ni upuuz tu km upuuz mwengineWakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu.
Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani.
Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,?
Msaada kwa wajuzi wa haya mambo ,, kuna binti wa mtu kanikalia kooni kuhitaji nimvishe pete ya uchumba nisije umbuka [emoji4]
MEK_TZ
Kuna ndugu yangu mmoja alifanya huo upuuzi baada ya tukio tukamcheka sana [emoji3][emoji3]akachukia kafuta mawasiliano na mimi sipendi ujinga nikasema potelea pweteeeWakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu.
Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani.
Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,?
Msaada kwa wajuzi wa haya mambo ,, kuna binti wa mtu kanikalia kooni kuhitaji nimvishe pete ya uchumba nisije umbuka [emoji4]
MEK_TZ
perfectly saidTo propose.... kupiga magoti sio utaratibu wa kiafrika, na kupropose kwa kumvalisha pete ya uchumba sio utamaduni original wa kiafrika. Kwa makabila mengi utaratibu ilikuwa unawatuma wazee/washenga, then binti anaitwa na kuulizwa kama anakufahamu na anakukubali, akisema ndiyo basi